FC Bravos in Build-up na 2-4-1-3 yao wamecheza vizuri sana dakika 45 za kwanza kwa kuzuia hatari za mpinzani wao hasa ndani ya 18 na kucheza muda mwingi kwenye Nusu yao! Kuanzia 1 Vs 1, Accurate Passes, Sharpness + Sond Balls nyingi ndani ya eneo lao walishinda hasa katikati kwa Kagoma na Ngoma...