caf confederation cup

The CAF Confederation Cup, known as the TotalEnergies CAF Confederation Cup for sponsorship purposes, is an annual association football club competition established in 2004 from a merger of the CAF Cup and the African Cup Winners' Cup and organized by CAF.
Clubs qualify for the competition based on their performance in their national leagues and cup competitions. It is the second-tier competition of African club football, ranking below the CAF Champions League. The winner of the tournament faces the winner of the aforementioned competition in the following season's CAF Super Cup.
Moroccan clubs have the highest number of victories (seven titles), followed by Tunisia with five. Morocco has the largest number of winning teams, with five clubs having won the title. The competition has been won by 13 clubs, five of which have won it more than once. Club Sfaxien is the most successful club in the competition's history, having won the tournament three times. Zamalek are the current defending champions, having beaten RS Berkane in the 2024 final.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC tafadhali nawaomba katika Press Conference ya Kesho na Pre Match Meeting msimteue Shomary Kapombe aende kwani ana Nuksi

    Kama hatoenda Nahodha mwenyewe Mohammed Hussein Zimbwe Jr basi aende hata Kelvin Kijiri tu inatosha sawa?
  2. MwananchiOG

    Timu zingine kuiga 'Supu day' na majina ya wachezaji mechi za kimataifa ni kukosa ubunifu?

    Tumezoea kuona Yanga wakija na ubunifu wa aina mbalimbali, mfano, Tumekuwa tukiona wakifanya 'Supu day' ambapo wanachama, wapenzi na mashabiki mbalimbali hukutana pamoja kufurahi na kubadilishana mawazo huku wakiburudika na supu! Kuna kilabu kingine kinachoshiriki kombe lisilojulikana na Rais...
  3. Pdidy

    kwa nini kila timu ikija kucheza na Simba wanakuja na vyakula vyao na wanapikia ubalozini?

    Nimejiuliza sanasanaa Kwanini kwa Simba. Kila timuzanje zikija zinakuja na vyakula vyao Na vyakula wanapikia ubalozin mwa nchi husika. Nawaza wanaogopa Uchawi, Kulogwa, ama wana taarifa zaidi zinazohusu Simba? kwa nini wakija kucheza na Yanga hakuna mambo kama haya. Cc Okwi b mpwaaaa. Soma...
  4. chibuOG

    Simba SC wamechea kikubwa na kimkakati

    Simba Sports Club pamoja nakuwa na kundi kubwa la wachezaji wapya pamoja na benchi la ufundi jipya kabisa lakini bado wameonyesha kuwa wao ni timu namba moja kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati na Namba 6 kwa ubora kwa vilabu Afrika nzima.Yaani ule mpira waliocheza jana ndio huwa unampa...
  5. SankaraBoukaka

    Nikimwangalia Mutale namwona Saido, ni kama "chumvi" na "mkubwa jiko", Balua ni wa "ligi kuu" tu anga za kimataifa zinampwaya

    Tokea mechi ya kwanza Mutale anacheza akiwa na jezi ya Simba dhidi ya APR ni wazi alionekana ni mbadala halisi wa SAIDO,,, yaani wanafanana kila kitu wanachokifanya uwanjani.. Akiwa na mpira analazimisha kukaa nao bila sababu za msingi wakati kuna nafasi za kuwapa wenzake. Utakuta kuna...
  6. Labani og

    Bora hata Azam FC alipiga on target nyingi Kwa APR kuliko Simba SC hii

    Uchambuzi wangu Bora hata Azam tunaweza kusema walikufa kiume....Kwani walipambana Kwa kupiga mashuti mengi ambayo yalilenga lango japo hawakuwa na bahati. Ila ndugu zangu makolo. Wana kikosi heavyweight cha thamani ya 7b billion.....lakini hawapiga suti hata Moja la kulenga goli...
  7. SAYVILLE

    Simba inaenda kurudisha hadhi na msisimko wa Kombe la CAF Shirikisho

    Kuna siku niliwahi kupost kuwa CAF walihuzunika sana msimu ule wa 2022-2023 kwa timu zilizoshindana hasa zile zilizofika mbali katika Kombe la Shirikisho. Hadi ikafikia hatua wakaanza kufikiria kuliondoa kabisa kombe hilo kuondoa aibu ndogo ndogo kama zile. Nafikiri sponsors waliona ni upuuzi...
Back
Top Bottom