Kwa taaluma yangu ya uchambuzi na kiimani, naiona simba kesho kutwa ikichapwa si chini ya goli mbili, wana safu nzuri ya ulinzi,viungo mahiri na washambuliaji hatari sana.
Kama tunavyojua Simba ina washambuliaji butu anza na Steven Dese Mukwala na Lionel Ateba huku viungo wao tegemezi ni...