Shirikisho la soka Afrika (CAF) linapanga kufanya marekebisho makubwa ya mashindano yake hasa Ligi ya Mabingwa Afrika na kombe la Shirikisho la CAF.
Shirikisho la soka barani humo limekuwa likichunguza njia za kuweka upya kandanda ya Afrika, hasa kwa Ligi ya Soka ya Afrika, ambayo imefanyika...