The CAF Champions League is an annual continental club football competition run by the Confederation of African Football (CAF). The top club sides from Africa's football leagues are invited to participate in this competition, which is the premier club football competition in the continent and the equivalent to the UEFA Champions League. Due to sponsorship reasons, the official name is Total CAF Champions League, with Total Champions League also in use.The winner of the tournament earns a berth for the FIFA Club World Cup, a tournament contested between the champion clubs from all six continental confederations, and also faces the winner of the CAF Confederation Cup in the following season's CAF Super Cup.
Egypt's Al Ahly SC is the most successful club in the competition's history, having won the tournament eight times. Egyptian clubs have accumulated the highest number of victories, winning the title 14 times.
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemfungia mechi nane Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania Adel Amrouche kwasababu ya shutuma zake alizozitoa dhidi ya Morocco
Adhabu hiyo ulitolewa jana na Kamati ya Nidhamu ya CAF baada ya malalamiko yaliyowasilishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu la...
Ahmed Ally wa Simba amekuwa akijiita Semaji la CAF. Taarifa hizo siyo za kweli, pichani chini Veron Mosengo Omba ndiye msemaji wa shirikisho la soka barani Africa CAF, Kwa Mujibu wa katiba ya shirikisho hilo Katibu mkuu yaani General Secretary ndiye msemaji wa taasisi
Pia nimekuta pahala...
Huu unaweza kuwa uzi wangu wa mwisho kwa mwaka 2023 na nataka nimalize mwaka kwa ujumbe chanya. Wenye akili zao watausoma na yale watakayoona ni mazuri wataenda kuyafanyia kazi.
Yanga na Simba bado wako kwenye mbio za kufuzu kwenda katika robo fainali ya klabu bingwa ya Afrika. Yanga hajacheza...
Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu;
"Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously" ~ "Zanzibar inapaswa kurudishwa kama mwanachama wa 55. Ni wakati sasa wa kutuchukua kwa...
Baada ya ripoti ya FIFA kutoka kuhusiana na ushiriki wa Simba katika Kombe la Dunia la Vilabu 2025, kumezuka malumbano mbalimbali. Kuna upande umekuwa unasema Simba hawezi kwenda kushirki mashindano yale bila kuchukua Ubingwa wa Klabu Bingwa Africa msimu huu na kwa mtazamo wao ana nafasi sawa na...
Nimeweka uzi huu kuwakumbusha wana Yanga kuwa ule muda wa kucheka umekwisha marabaada ya kupata ushindi kwa mara ya kwanza ktk hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Africa ndani ya miaka 88 toka kuanzishwa kwa klabu hiyo.
Vituo vinavyofuata ni Al Ahly na CR Belouizdad ambao bila ya shaka...
Waamuzi hawapendi sana kukosolewa na kushitakiwa. Alifanya hivyo sana Mourinho Chelsea sema alikuwa na kikosi bora sana na alizikabili hujuma.
Ila Yanga leo watajua hawajui
Ukicheki club nyingine kama Simba, Wydad, Mamelodi, Mazembe, Al Ahlyna nyinginez majina yao yameandikwa huku pembeni yake kuna logo isipokuwa Yanga na vitimu vingine vidogo
Najiuliza ni kuwa hawaifahamu logo ya Yanga au ni dharau?
Maana Yanga imecheza fainali ya Shirikisho na kuvaa medali...
ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2023 (CAF Club Ranking)
Rank za caf ngazi ya vilabuCAF rankings,Vilabu 20 bora afrika 2023,Nafasi ya Simba Afrika 2023Nafasi ya yanga afrika 2023,Yanga ranking in Africa 2023,Vilabu kumi bora africa,CAF club points,Rank za caf ngazi ya vilabu,CAF club points,CAF...
leo tarehe 19.12.2023 Mnyama anashuka Dimbani kuzisaka alama tatu za kwanza za hatua ya makundi ya Wydada Casablanca.
Mechi hizi zitachezwa saa 10:00 jioni.
Nini maoni yako kuhusu mchezo huu?
Ungana nami katika uzi huu ambao nitakuletea kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
Kikosi...
1. Anayeongoza kundi la Simba ana point 7 iliSimba amfikie anahitaji mechi mbali wakati anayeongoza kundi la Yanga ana point 5 the Kumfikia ni mechi Moja tu
2.Simba ana mechi na Wydad wakati Yanga ana mechi na Medeama Kwa Mkapa. Wydad. Mgumu kuliko Medeama.
3.Simba ana mechi Ghana ambako Wydad...
Embu tujadili shida iko wapi kwa klabu zetu za Tanzania kushindwa kufanya vyema kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika?🤔 Wote wanashika mkia kwenye makundi yao wakiwa na pointi 2 tu.
Simba sc na pacha wake Young African SC
Ninyi ni timu bora na kongwe kwa Tanzania. Zinauwekezaji mkubwa na mashabiki wengi kwa Tanzania kuliko timu yoyote ile.
Wote mumeingia makundi kwa pamoja na wote matokeo yenu yanafanana.
Ninyi ni MAPACHA HASWA.
Mmecheza michezo 3
Mkatoa sare 2 na...
Mechi za hatua ya Makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika kuendelea tena leo tarehe 08.07.2023
Yanga kutoka katika kundi D watakuwa ugenini kumenyana na Madeama ya nchini Ghana. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 1:00 jioni katika uwanja wa Baba Yara nchini Ghana.
Je, wawakilishi hawa wa Tanzania...
Habari Wakuu,
Kuelekea Mechi za CAF CHAMPIONS LEAGUE kesho tarehe 2 December, Matokeo yatakuwa kama Yafuatavyo,
Yanga vs Al Ahly (Yanga Atashinda)
Jwaneng vs Simba (Itaisha kwa Draw)
Tp mazembe vs Mamelod (Tp Mazembe Atashinda )
Mimosas vs Wydad (Wydad Atashinda)
Nouadhibou vs pyramids...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.