caf

The CAF Champions League is an annual continental club football competition run by the Confederation of African Football (CAF). The top club sides from Africa's football leagues are invited to participate in this competition, which is the premier club football competition in the continent and the equivalent to the UEFA Champions League. Due to sponsorship reasons, the official name is Total CAF Champions League, with Total Champions League also in use.The winner of the tournament earns a berth for the FIFA Club World Cup, a tournament contested between the champion clubs from all six continental confederations, and also faces the winner of the CAF Confederation Cup in the following season's CAF Super Cup.
Egypt's Al Ahly SC is the most successful club in the competition's history, having won the tournament eight times. Egyptian clubs have accumulated the highest number of victories, winning the title 14 times.

View More On Wikipedia.org
  1. CAF yamfungia mechi 8 Kocha wa Taifa Stars, huku TFF ikimsimamisha. Aliishutumu Morocco kwa kupanga mechi

    Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemfungia mechi nane Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania Adel Amrouche kwasababu ya shutuma zake alizozitoa dhidi ya Morocco Adhabu hiyo ulitolewa jana na Kamati ya Nidhamu ya CAF baada ya malalamiko yaliyowasilishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu la...
  2. Kama ilikuwa humjui huyu hapa Msemaji wa CAF

    Ahmed Ally wa Simba amekuwa akijiita Semaji la CAF. Taarifa hizo siyo za kweli, pichani chini Veron Mosengo Omba ndiye msemaji wa shirikisho la soka barani Africa CAF, Kwa Mujibu wa katiba ya shirikisho hilo Katibu mkuu yaani General Secretary ndiye msemaji wa taasisi Pia nimekuta pahala...
  3. Yanga ikiingia robo fainali inaweza kuipaisha Simba katika rank za CAF na FIFA

    Huu unaweza kuwa uzi wangu wa mwisho kwa mwaka 2023 na nataka nimalize mwaka kwa ujumbe chanya. Wenye akili zao watausoma na yale watakayoona ni mazuri wataenda kuyafanyia kazi. Yanga na Simba bado wako kwenye mbio za kufuzu kwenda katika robo fainali ya klabu bingwa ya Afrika. Yanga hajacheza...
  4. R

    Muungano wetu: Ujumbe huu kwenye bango la Timu ya Taifa Zanzibar unamaanisha nini?

    Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu; "Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously" ~ "Zanzibar inapaswa kurudishwa kama mwanachama wa 55. Ni wakati sasa wa kutuchukua kwa...
  5. Simba inaweza kufuzu Kombe la Dunia la Vilabu 2025 bila kuchukua ubingwa wa CAF

    Baada ya ripoti ya FIFA kutoka kuhusiana na ushiriki wa Simba katika Kombe la Dunia la Vilabu 2025, kumezuka malumbano mbalimbali. Kuna upande umekuwa unasema Simba hawezi kwenda kushirki mashindano yale bila kuchukua Ubingwa wa Klabu Bingwa Africa msimu huu na kwa mtazamo wao ana nafasi sawa na...
  6. S

    Timu ya Wiki Caf Champions League 2023/2024

    Ligi ya Tanzania imekua wachezaji 5 sio haba .
  7. M

    UTABIRI: Yanga Sc kuishia na alama 5 tu katika makundi ya CAF Champions league

    Nimeweka uzi huu kuwakumbusha wana Yanga kuwa ule muda wa kucheka umekwisha marabaada ya kupata ushindi kwa mara ya kwanza ktk hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Africa ndani ya miaka 88 toka kuanzishwa kwa klabu hiyo. Vituo vinavyofuata ni Al Ahly na CR Belouizdad ambao bila ya shaka...
  8. Leo yanga watajuta kuwashitaki waamuzi CAF.

    Waamuzi hawapendi sana kukosolewa na kushitakiwa. Alifanya hivyo sana Mourinho Chelsea sema alikuwa na kikosi bora sana na alizikabili hujuma. Ila Yanga leo watajua hawajui
  9. J

    Ina maana Caf hawajui logo ya Yanga au ni dharau?

    Ukicheki club nyingine kama Simba, Wydad, Mamelodi, Mazembe, Al Ahlyna nyinginez majina yao yameandikwa huku pembeni yake kuna logo isipokuwa Yanga na vitimu vingine vidogo Najiuliza ni kuwa hawaifahamu logo ya Yanga au ni dharau? Maana Yanga imecheza fainali ya Shirikisho na kuvaa medali...
  10. M

    Mkeka wa CAF kwa vilabu Afrika: Kuna timu kama Medeama hata utafute kwa tochi hutaziona

    ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2023 (CAF Club Ranking) Rank za caf ngazi ya vilabuCAF rankings,Vilabu 20 bora afrika 2023,Nafasi ya Simba Afrika 2023Nafasi ya yanga afrika 2023,Yanga ranking in Africa 2023,Vilabu kumi bora africa,CAF club points,Rank za caf ngazi ya vilabu,CAF club points,CAF...
  11. E

    FT: ASEC Mimosas 3-0 Galaxy | CAF CL | 19.12.2023

    Game inachezwa mda huu wana Simba ombeni Mungu galaxy afungwe vyenginvyo bado itakua mupo ktk nafas mbaya.
  12. FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

    leo tarehe 19.12.2023 Mnyama anashuka Dimbani kuzisaka alama tatu za kwanza za hatua ya makundi ya Wydada Casablanca. Mechi hizi zitachezwa saa 10:00 jioni. Nini maoni yako kuhusu mchezo huu? Ungana nami katika uzi huu ambao nitakuletea kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Kikosi...
  13. Kufuzu Quarter Final Caf Cl: tofauti 10 kundi la Simba na Yanga

    1. Anayeongoza kundi la Simba ana point 7 iliSimba amfikie anahitaji mechi mbali wakati anayeongoza kundi la Yanga ana point 5 the Kumfikia ni mechi Moja tu 2.Simba ana mechi na Wydad wakati Yanga ana mechi na Medeama Kwa Mkapa. Wydad. Mgumu kuliko Medeama. 3.Simba ana mechi Ghana ambako Wydad...
  14. Hili ndio Kundi gumu CAF

  15. Kwanini timu za Tanzania zote mbili zinashika mkia kwenye makundi Yao ya CAF champions league

    Embu tujadili shida iko wapi kwa klabu zetu za Tanzania kushindwa kufanya vyema kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika?🤔 Wote wanashika mkia kwenye makundi yao wakiwa na pointi 2 tu.
  16. Hamjambo nyie vijana wa CAF Champion League

    Simba sc na pacha wake Young African SC Ninyi ni timu bora na kongwe kwa Tanzania. Zinauwekezaji mkubwa na mashabiki wengi kwa Tanzania kuliko timu yoyote ile. Wote mumeingia makundi kwa pamoja na wote matokeo yenu yanafanana. Ninyi ni MAPACHA HASWA. Mmecheza michezo 3 Mkatoa sare 2 na...
  17. FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

    Mechi za hatua ya Makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika kuendelea tena leo tarehe 08.07.2023 Yanga kutoka katika kundi D watakuwa ugenini kumenyana na Madeama ya nchini Ghana. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 1:00 jioni katika uwanja wa Baba Yara nchini Ghana. Je, wawakilishi hawa wa Tanzania...
  18. Tuzo za CAF: Kocha wa Simba apenya, Yanga yatupwa

    Mshika remote wa vichwa vya fans wa Yanga tunaomba uwaset Uto wajadili bila jazba na matusi
  19. E

    Asec Momosas 0 -0 Wydad CAF Champions League | 02-12-2023

    Game imeanza kuchezwaa mda huu.
  20. Mechi za CAF Kesho: Yanga ataifunga Al Ahly na Simba atatoa Sare dhidi ya Jwaneng Galaxy, Na Tp mazembe atamfunga Mamelod

    Habari Wakuu, Kuelekea Mechi za CAF CHAMPIONS LEAGUE kesho tarehe 2 December, Matokeo yatakuwa kama Yafuatavyo, Yanga vs Al Ahly (Yanga Atashinda) Jwaneng vs Simba (Itaisha kwa Draw) Tp mazembe vs Mamelod (Tp Mazembe Atashinda ) Mimosas vs Wydad (Wydad Atashinda) Nouadhibou vs pyramids...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…