The CAF Champions League is an annual continental club football competition run by the Confederation of African Football (CAF). The top club sides from Africa's football leagues are invited to participate in this competition, which is the premier club football competition in the continent and the equivalent to the UEFA Champions League. Due to sponsorship reasons, the official name is Total CAF Champions League, with Total Champions League also in use.The winner of the tournament earns a berth for the FIFA Club World Cup, a tournament contested between the champion clubs from all six continental confederations, and also faces the winner of the CAF Confederation Cup in the following season's CAF Super Cup.
Egypt's Al Ahly SC is the most successful club in the competition's history, having won the tournament eight times. Egyptian clubs have accumulated the highest number of victories, winning the title 14 times.
Mwaka 1979, Simba Sc ya Tanzania ilipangwa kucheza na klabu ya Mufulira Wanderers ya Zambia katika michuano ya CAF.
Mechi ya kwanza katika dimba la taifa ( sasa uhuru ) Simba likufa 4-0
Mashabiki walisononeka sana wakaisusa timu yao. Kikosi kikaendelea na maandalizi ya mchezo wa marudiano...
Mimi huwa napenda kuja na hoja fikirishi kwa hiyo wale wasiopenda kufikiri wananionaga hamnazo. Muda huwa unadhihirisha kile ninachosemaga.
Kumekuwa na malalamiko ya kutaka CAF ibadili fainali za mechi za Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho kutoka mechi mbili na kubakiwa na moja. Binafsi...
Kama Jibu ni ndiyo basi kuna Watu Medali pekee watakazorudi nazo nchini Tanzania ni Tiketi zao tu za Ndege ya Msaada waliyopewa na Kuipanda.
Kudadadeki....!!
Kwa mujibu wa kanuni za CAF ikiwa mchezaji atapata kadi 3 za njano kwenye mechi 3 mfululizo za mashindano au kadi nyekundu, adhabu yake itakuwa mara 2 hivyo atafungiwa mechi 2.
Aucho alipata kadi 3 mfululizo. 2Vs Marumo na 1Vs Rivers United hivyo atakosa mechi zote 2 za fainali.
Baada ya mechi 10 za kombe la Shirikisho Afrika kwa kila timu, Yanga SC wamewazidi USM Alger kwa takwimu karibu zote miongoni mwa timu hizo:
Eneo pekee ambalo Yanga wamezidiwa ni mabao ya kufunga ( utofauti wa mabao mawili ) huku Yanga wakitawala maeneo mengine yote yaliyobaki.
Takwimu hizi ni...
Maandalizi na mihangaiko ambayo nimeishuhudia kwa macho yangu kwa baadhi ya viongozi, wajumbe na wanachama wa Mnyama wakihangaika kufanya kila wawezalo kuhakikisha Mwananchi hachukui ubingwa wa caf confederation cup ni kubwa mno.
Imeagizwa fuso zima iliyojaa nazi kwa ajili ya kuroga, Mbuzi 25...
Naona hii ya kucheza match saa 10:00 jioni ni kama uoga hivi wa wasimamizi wa uwanja kuhusu swala la kuzimika taa. Maana huu muda sijawahi kuupenda katika maisha yangu.
Wangeweka hata saa 12:00 jioni.
Kiasi unachopokea kihasibu tunahesabia ni baada ya kutoa matumizi.
Kwa kila safari ya kwenda kucheza mechi za nje, gharama inaweza kuwa milioni 40 kuanzia tiketi za ndege, gharama za malazi, vyakula na vinywaji, n.k.
Simba hadi wanafika robo fainali washakwenda nje mara 6 (mechi 2 za awali...
Kila timu italipwa kulingana na kiwango ilichofikia. Hakuna hela inayotolewa kwa kuvuka kila hatua, hawawezi kulipa kila hatua kwasababu fungu la bajeti halina uwezo huo.
Ukiingia mashindano ya CAF ukatolewa hatua ya awali ukashindwa kuingia kwenye makundi utakuwa umetoka patupu hata mia...
timu inapotolewa katika hatua fulani, ndiyo hupatiwa pesa iwe ni makundi, robo fainali, nusu fainali ama hadi imalize fainali.
timu ikiishia makundi inapewa pesa, wanaosonga mbele robo fainali hawapewi
timu ikiishia robo fainali inapewa pesa, wanaosonga mbele nusu fainali hawapewi
timu...
Kwa vile fainali itawakutanisha Yanga na USM Alger. Kwa kuangalia takwimu za timu hizo mbili, ni dhaniri kuwa Yanga ina edge dhidi ya USM Alger kwa Vile Marumo Gallants waliwafukia USM Alger na Yanga imewafukia Marumo Gallants kwa hiyo Yanga ina uhakika wa kuifunga USM Alger na kuchukua kombe...
Marumo Gallants wapo nyumbani kuwaalika Young Africans katika mchezo wa marudiano ya nusu fainali ya CAF Confederation Cup kwanzia saa 1:00 usiku kwa hapa nyumbani Tanzania.
Mechi ya kwanza iliyopigwa juma moja lililopita Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 2-0.
Hivyo matokeo yoyote ya ushindi...
Kwa mujibu wa mtandao wa IFFHS, ambayo imetoa orodha ya vilabu bora kwa bara la Afrika imeonyesha simba ikishikilia nafasi ya 10 huku kinara akiendelea kuwa Al ahly ya nchini Egypt.
Hongera kwa kilabu cha Simba na benchi zima la ufundi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.