Habari ndugu zangu!!
Kwa ufinyu wangu wa mawazo na elimu yangu duni nawaza tu kwamba sijui hali itakuaje siku CAG akipitia mahesabu ya TISS na TPDF.Maana kila mwaka huko anakokagua CAG wizi upo pale pale kama kawaida tena wa mabilioni ya shilingi.Serikali ipo,bunge lipo,TAKUKURU wapo lakini wizi...
1. Imekua kawaida Watanzania kwenda kutibiwa India kwa Kodi za wavuja jasho.
2. Hizi gharama CAG anaweza kuzikagua? Maana tunapanda nao Emirates wao wakitanua Business class na wasindikizaji huku walipa Kodi tukijilipia economy
Rasi Samia anafanya hadaaa za kiwango cha juu kabisa, na pia anacheza na akili za wajinga kwenye hii Jamhuri ilio jaa wajinga.
Report ya CAG mwaka huu watuhumiwa wote wamesamehewa kwa asilimia 100 kwa kuombewa msamaha na kamati ya CCM ya kuombea watuhumiwa mbalia mbali msamaha kwa raisi...
Tunapoelekea nusu ya msimu mimi Mkaguzi Mkuu wa Sirikali.
USAJILI WA DUBE
Wanachama waangalie jambo hili wakiwahoji viongozi wao. Hizo Milion 700 za kumnunua Dube alikula nani? Tunapoangalia katika misimu ambayo Dube amechezea Azam ni minne. Ambapo ameibuka na magoli jumla 32. Wastani wa magoli...
Wakati Tanzania ikizozana kuhusu uwajibikaji wa matumizi ya fedha za umma, hebu tutazame hali katika mataifa yanayodai kuwa vinara wa uwazi na utawala bora. Ripoti za hivi karibuni kutoka Marekani zinaonyesha kuwa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inashindwa kupitisha ukaguzi wa hesabu...
Mbunge wa Jimbo la Momba CONDESTER SICHALWE CCM amelalamika kuwa mawazo, maoni wanayotoa bungeni yamekuwa ayasikizwi na serikali, pamoja na ayo ameongeza kuwa taarifa za ukaguzi za mkaguzi Mkuu wa serikali CAG zimekuwa zikipuuzwa na Serikali.
Soma Pia: Ripoti 21 za CAG zatua Bungeni kwa ajili...
Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof Mussa Assad ameeleza namna alivyopata taarifa za kutenguliwa kwake katika nafasi hiyo.
“Utenguzi wangu kuna mtu alinipigia simu siku moja kabla kuhusu utenguzi wangu, na saa moja kabla ya taarifa kutoka nikapigiwa simu tena...
Taasisi ya Masuala ya Uwajibikaji wa Umma (WAJIBU) imekuwa ikiandaa ripoti za uwajibikaji zenye lengo la kuongeza uelewa wa Wananchi kuhusu mambo muhimu yaliyoibuliwa kwenye Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
WAJIBU imeandaa ripoti nne (4) kutoka kwenye ripoti za...
Tanzania tuitakayo Ofisi ya CAG ipewe mamlaka kamili Kama chombo kinachojitegemea na kujitosheleza Kama ilivyo TAKUKURU. Yaani wawe na mamlaka ya kumfikisha mahakamani na kumfungulia mashitaka kiongozi au mkuu wa taasisi baada ya kujiridhisha alifanya/amefanya ubadhirifu. Hii itaondoa dhana...
Nini maana ya UBADHIRIFU? Ubadhirifu ni hali ya kukosa uwezo wa kujizuia au kujidhibiti, katika matumizi ya Fedha au Rasilimali mbalimbali, na hii hutokea kwa wale waliopewa mamlaka za kuongoza Serikali ama Taasisi mbalimbali katika jamii zetu.
Je, nini kifanyike ili kuchochea Uwajibikaji dhidi...
Mahubiri yenu yanaikumbatia serikali. Hubirini HAKI, wizi wa mali za Umma , uuzwaji wa rasilimali za nchi, MaDc, RC, kuwaonea watu , report za CAG na vitu kama hivyo. Maadili si ushoga/ubakaji tu.
Hubiri na kusema uongo si maadili ( Magufuli yuko ofisini anachapa kazi, kumbe yuko mortuary)...
Hii nimepenyezewa jioni hii, na mdau wangu wa muhimu sana.
Wahusika wote waiotajwa kwenye report ya CAG mwaka huu wamesamehewa na Mh Raisi hii ni baada ya kamati ya kuwaombea msamaha kuwa na jukumu zito sana la kuwahoji kabla ya kumuomba Raisi awasamehe na awape onyo kali sana.
Kamati...
Hakika huu ni usanii mkubwa na very calculated.
CCM ambayo ndio ina dhamana ya kuongoza serikali inatumia ujinga wetu kutuhadaa ili tuone wanastahili kuendelea kushika dhamana hiyo pamoja na madudu yao ya kutisha.
Kwa mujibu wa sheria Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali CAG ni mtu...
Ikiwa Bunge linajadili taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG), kisha hakuna azimio linalotekelezwa?
Ni sababu zipi kisheria na Kikatiba zinaruhusu ripoti hiyo kusomwa Bungeni? Je Bunge linapitisha Bajeti wasiyoweza kusimamia na kuamua matumizi yake au lina kazi gani haswa...
Ni takribani miaka mitatu sasa CAG amekuwa akitoa taarifa zilizojaa madudu ya ufisadi na rushwa pasi na mamlaka ikiwemo serikali kuchukua hatua yeyeote kukabiliana na tuhuma hizo kwa kipindi chote hicho.
Imefikia hatua sasa wananchi wamepoteza kabisa imani ya kuendelea kusikiliza ripoti...
Maeneo kumi (10) muhimu katika Uchambuzi wa Ripoti ya CAG mwaka 2022/23.
Kama ambavyo tumekuwa tukifanya kila mwaka, uchambuzi wetu mwaka huu utajikita kwenye mambo kumi (10) ambayo tunaona ni muhimu Watanzania kuyatambua na tutayatolea mapendekezo ili yaweze kuchukuliwa hatua.
Katika...
Kwenye report ya CAG imeonekana kuna mabilioni yamepotea kila secta lakini pia kuna mabilioni kwenye mifuko ya jamii wamekopeshana wafanyakazi wa mifuko ya jamii na mabilioni mengine serikali imekopa na haitaki kulipa.
Hivyo danadana zote hizi wanajua tatizo liko wapi hivyo wanaangalia mdhaifu...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza Serikali ifanye mapitio ya kina ya mgawanyo wa bajeti kwa ajili ya posho za mazingira magumu kwa Maofisa wa Magereza na kuboesha bajeti kuhakikisha ustawi wa Maofisa wa Magereza.
Kupitia Ripoti Kuu ya Mwaka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.