Hofu hii kwa kiongozi wa Kudumu wa ACT sio ya kawaida na kilio chake kina kelele ya uchungu mkubwa.
Tusubiri makubwa zaidi?
Zitto hofu yako kwa Charles Kichere ni nini haswa?
Rais John Magufuli leo Novemba 3 amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akichukua nafasi ya Prof. Mussa Assad
Prof. Assad aliteuliwa na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete wakati wa utawala wake na kuapishwa Novemba 2014.
BAADHI YA VIFUNGU VYA SHERIA/KATIBA...
CAG Prof. Assad amezipongeza Halmashauri zilizofanya vizuri kwenye ukusanyaji wa mapato ya Serikali kama ilivyotangazwa na Waziri wa TAMISEMI Mh. Jafo.
Prof. Assad amesema pia Kamati za kudumu za Bunge zimeanza kuifanyia kazi ripoti ya ukaguzi wa taasisi mbalimbali za serikali kama...
Nimesikiliza Press conference ya Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Mhe Zitto leo na kukubaliana na hoja za wengine kuwa Zitto is a well informed person na yuko vizuri sana kuelezea. Ripoti ya 1.5 Trln ni moto sana.
Sikiliza hapa.
Go Zitto. Mie naamini huyu jamaa atatusaidia sana nchi hii...
Wanabodi,
Hili ni bandiko kuhusu kitu very serious kuhusu mustakabali wa taifa letu na vipaumbele vyetu ambapo CAG Prof. Mussa Asad amekisema!. Kama hii ni kweli, then, this is not right at all, hivyo kama mambo yenyewe ni haya, hala hala huko mbele tusije tukashikana mashati, swali linabaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.