Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema katika ukaguzi unaoishia Juni 30, 2019 amebaini Balozi za Tanzania nchini Brazil, Nigeria na Stockholm(Sweden aliko Dr. Wilbroad Slaa) zimetumia Sh1.02 bilioni kukodi nyumba za makazi kiasi ambacho kingeepukika kama...
Kiongozi wa ACT Wazalendo.,Zitto Kabwe, amefungua kesi ya Kikatiba dhidi ya mosi; Sheria ya Ukaguzi namba 11 ya mwaka 2008 kukiuka Katiba na pili Uteuzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) uliofanywa na Rais Magufuli kuwa kinyume na masharti ya Katiba.
Kesi hiyo ya Kikatiba...
Nimefuatilia sana majibishano ya baadhi ya viongozi tukajua n bifu za kawaida.
Sasa kwa yanayoendelea kila msanii anakana hajapewa hela jamani tunaomba hii hali ikaguliwe na CAG wetu na jambo hili liwekwe wazi ama bungeni ama kwenye vyombo vya habari.
Leo mtaruhusu haya atakuja mwingine...
Shirika la Ndege Air Tanzania limejitahidi kupunguza hasara kutoka TZS 15b mwaka 2017 mpaka TZS 10b mwaka 2018. Hata hivyo Shirika la ATCL kiuhalisia limefilisika kwani Madeni yake yamezidi Mali zake kwa TZS 177b mwaka 2018 kutoka TZS 173b mwaka 2017.
Chanzo: CAG Audit Report
Chanzo: Twitter
Heshima kwenu wana jamiiforums,
Nimepenyezewa taarifa zinazohusu mazingira ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka yanayofanywa na mkurugenzi wa kampuni ya chuo kikuu cha Dar es salaam iitwayo University of Dar es Salaam Computing Centre (UCC), Dr. Ellinami Minja.
Nimeona ni vyema niliseme...
Waziri wa kilimo mh Hasunga amesema mabilioni ya fedha za korosho yameliwa na wajanja hivyo ameunda tume ya uchunguzi kufuatilia ubadhirifu huo.
Pia mh Hasunga amemtaka CAG kuikagua bodi ya korosho kwani kuna kiasi cha zaidi ya sh bilioni 55 hazijulikani ziliko.
Kadhalika Waziri amewataka...
CAG mstaafu;Musa Asad ameingia mkataba wa miaka mitatu (2019-2022) wa kukagua hesabu zote za fedha za misaada inayotolewa na swedan kwa Tanzania.
....................
Una maoni gani kwa Asad na kwa serikali ya Tanzania?
Katiba yetu ipo very clear CAG haruhusiwi kuingia katika siasa baada ya muda wa utumishi wake.
Hii inamaana kuwa wale tunafikiri kesho CAG ataingia katika siasa tunapoteza muda na huwenda ndio maana katiba inamlinda sana ili asije nyanyaswa na watawala.
Msemaji wa serikali ametolea ufafanuzi wa mambo mbalimbali ikiwemo uchaguzi wa serikali za mitaa, haki za binadamu na kustaafu kwa CAG.
Dr Abbas amesema ukiachalia mbali CAG hata Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania amewekewa kanuni zinazombana na kumuongoza katika utendaji wake wa kila...
Naipenda Serikali na Rais wangu ila napenda zaidi Serikali yangu kufuata Katiba ili kuepuka mambo ya Zimbabwe nchi iliokuwa na uchumi mzuri leo uchumi umeparaganyika.
Budget yetu ni tegemezi tutake ama tusitake. Ila sasa kwa mchezo unaendelea nchi wafadhili wakipunguza misaada ina maana...
Ili kupata mawasiliano yenye uhakika ni vema pakafanyika mabadiliko madogo ya katiba ili kumuwezesha CAG kuwa mbunge.
Tumeona faida ya mwanasheria mkuu kuwa mbunge kwamba anajibu hoja zetu zote zenye utata wa kisheria pale bungeni, vivyo hivyo CAG akiwa mbunge ataweza kuzitolea ufafanuzi hoja...
BAADA ya kuwepo mjadala mkubwa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu uteuzi na utenguzi wa nafasi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Rais John Magufuli amemaliza mijadala hiyo kwa kuweka bayana kuwa nafasi hiyo, haipo juu ya mamlaka ya mihimili mikuu mitatu...
Hiki ni kitendo kilichofanyika bila kuchelewa , hajataka kuleta longolongo ili waseme kuna mafaili yametoroshwa .
Kila la heri Profesa Assad
******
Prof. Assad:
"Hii ni taasisi na makabidhiano ya taasisi yanaenda kwa maandishi, kwa hiyo makabidhiano kwa maandishi yatafanyika Dodoma kwa sababu...
Mjadala huu naona kama hauna nguvu sana kimantiki.
Labda kama kuna jambo kubwa hapo ameondolewa ili asiliibue lkn sijaona.
Vinginevyo sioni tofauti kama angeondoka miaka miwili ijayo na hiki kilichotokea leo.
Ila Nitakachokikumbuka...
1: Ndio CAG aliyefanya kazi kiasi cha kufanya neno CAG...
Mwanabodi Pascal Mayalla alileta uzi hapa akituelezea Uwezo wa CAG kikatiba ni sawa kabisa na Jaji Mkuu na kwamba agizo lake ni sawa na bill.
Leo Rais Magufuli amesema CAG siyo muhimili na mihimili ni mitatu tu Serikali, Bunge na Mahakama
Na kwamba CAG kwa kiswahili ni Mkaguzi na Mdhibiti mkuu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Novemba 4, 2019 kuanzia majira ya saa tatu na nusu (3:30) asubuhi atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni
Wanaoapishwa ni pamoja na;
1. Charles Edward Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi!
Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika...
Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi - Prof. Mussa Assad akizungumzia uteuzi wa CAG mpya
Nilipoteuliwa nilipewa barua ya uteuzi iliyoeleza mambo kadhaa ya kisheria...
Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.