Habari ndugu zangu!!
Kwa ufinyu wangu wa mawazo na elimu yangu duni nawaza tu kwamba sijui hali itakuaje siku CAG akipitia mahesabu ya TISS na TPDF.Maana kila mwaka huko anakokagua CAG wizi upo pale pale kama kawaida tena wa mabilioni ya shilingi.Serikali ipo,bunge lipo,TAKUKURU wapo lakini wizi...