camera man

  1. B

    Kwanini social media accounts za kampuni/biashara yako aziwafikii watu kama ulivyotarajia?

    Skuizi imekuwa kama fashion tu kuona wafanya biashara wadogo kwa wakubwa, makampuni Hadi taasisi mbalimbali kuwa na account za mitandao ya kijamii(Facebook, Instagram na YouTube).. Na wengi wao wakiwa motivated kuwa na iyo mitandao ya kijamii kwa ajili ya biashara zao kwa kuiga au kwa kuskia tu...
  2. Fazzah5x

    Anahitajika kijana mwenye uzoefu wa photography na videography

    Habari wana JF, Anahitajika kijana mwenye uzoefu wa photo and video shooting kuna fursa hapa Location: Dar es Salaam Piga: 0625544723
  3. BARD AI

    Mtuhumiwa wa Ubakaji amwambia Mwandishi wa Habari “Afu we Camera man nikimaliza kesi ntakutafuta”

    Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa...
  4. B

    Natafuta kazi. Mm ni videographer, photographer, graphics designer na content creater

    📷📷
Back
Top Bottom