camera

A camera is an optical instrument used to record images. At their most basic, cameras are sealed boxes (the camera body) with a small hole (the aperture) that let light in to capture an image on a light-sensitive surface (usually photographic film or a digital sensor). Cameras have various mechanisms to control how the light falls onto the light-sensitive surface. Lenses focus the light entering the camera, the size of the aperture can be widened or narrowed to let more or less light into the camera, and a shutter mechanism determines the amount of time the photo-sensitive surface is exposed to the light.
The still image camera is the main instrument in the art of photography and captured images may be reproduced later as a part of the process of photography, digital imaging, photographic printing. The similar artistic fields in the moving image camera domain are film, videography, and cinematography.
The word camera comes from camera obscura, which means "dark chamber" and is the Latin name of the original device for projecting an image of external reality onto a flat surface. The modern photographic camera evolved from the camera obscura. The functioning of the camera is very similar to the functioning of the human eye. The first permanent photograph was made in 1825 by Joseph Nicéphore Niépce.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtukudzi

    Baada ya leseni za Drones serikali igeukie CCTV Camera

    Tanzania ni nchi tajiri sana. Serikali ya awamu ya tano imetukumbusha kuwa tuna vyanzo vingi vya mapato vinavyoweza kuleta makusanyo mengi ya kodi kupitia serikali kuu, mashirika ya umma na Mamlaka za serikali za Mitaa. Baada ya kugundua chanzo kipya ambacho ni leseni za kurusha ndege zisizo na...
  2. N

    INAUZWA Blackmagic ursa mini 4.6k cinema camera inauzwa

    Blackmagic ursa mini 4.6k cinema camera, inashoot RAW and proress RAW resolution 4.6k up to 60fps and 2k up to 120fps,camera nilinunua mpya sijaitumia kwa kazi yeyote zaidi ya kutest tu hapa na pale Body only bei 7m Na cfast (256gb) 7.5m Kama upo serious nicheki 0752527054 or 0629274880.
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ubora wa Camera ya Nokia Lumia 1020 ya zama zile na camera za simu za leo

    Nokia Lumia 1020 iliushangaza ulimwengu pale walipotoa simu Kali sana yenye MP41. Hiyo ilikuwaje Ni 2011 karibu miaka 10 iliyopita. Camera ya Nokia Lumia 1020 ilikuwa kiboko na matata Sana, na ilitumia lens moja, tofauti na leo ambapo tunaona ili simu iwe na camera Kali Basi watalundika rundo la...
  4. D

    Nimegundua kumbe kuna umuhimu wa kufunga CCTV camera sakafuni zimulike juu, maana za juu wakati mwingine zinafeli kunasa!

    Nitawapa mfano; Maeneo mengi sana siku hizi yamefungwa kamera! Tembelea MALL zote hukosi idadi kubwa ya kamera! Lakini ajabu, Pamoja na wingi wa kamera lakini bado ripoti za wizi na udokozi zinaendelea pasipo watuhumiwa kupatikana! Mazingira ya matukio mengi yanayoripotiwa ukiangalia video...
  5. dvj nasmiletz

    Nina 70000 nataka 1TB Hard Disc

    Hiyo ndio bajet yangu kama unayo nicheki... Iwe external au internal sawa tu Gb 1000 Isiwe na shida Pia kama una digit camera isizid laki nicheki
  6. Mchimba Chumvi

    Nauza camera Canon 4000d EOS

    Wadau nauza camera Canon 4000d EoS Ina lens tatu ambazo 18-55mm,55-250 mm na professional digital lens Ina adapter ya 64 gb Type of product DSLR Pamoja na charge yake. Bei ni 650k Kama upo Interested nicheki WhatsApp +255745588735
  7. Y

    Ushauri: Kati ya nyaya za umeme kuzunguka nyumba (electric fence) na kamera za ulinzi (CCTV camera) ipi inafaa kwa matumizi ya nyumbani?

    Salaam wadau. Kama kichwa cha habari kilivyo. Mtaani kwetu tumekuwa tukisumbuliwa sana na vibaka wanaoiba vitu vya ndani hasa TV. Ninawaza kufunga either CCTV camera au nyaya za umeme kuzunguka ukuta. Uwezo wa kuzifunga zote kwa sasa sina. JF ina wadau waliobobea kwenye nyanja mbalimbali...
  8. CalifNice

    Msaada wa camera

    Naomba wanajamvi kwa mwenye elimu ya kamera za smartphone kupiga picha au video kama inavoonekana katika attachment file anijulishe picha ambazo inaoneka kawaida katika lakin pembeni yake iko blured
  9. DEALFORREAL

    Canon EOS 1100D 12.0MP Digital SLR Camera - Black (Kit w/ EF-S 18-55mm + 75-300mm f/4-5.6 III

    Canon EOS 1100D 12.0MP Digital SLR Camera - Black (Kit w/ EF-S 18-55mm + 75-300mm f/4-5.6 III ipo katika hali nzuri kabisa original box Na inauzwa pamoja na lens zake 2 kama unavyoonekana katita picha imetumika kidogo sana ipo kama mpya bei TZ 650000. LAKI SITA NA NUSU. About this product...
  10. Almendezz

    Orodha ya Simu 10 bora kwa camera

    List hii ya simu 10 bora kwa camera ni kwa mujibu wa DXOMARK. Bila ya kupoteza muda tuanze na namba 1 HUAWEI MATE 40 PRO Huawei Mate 40 Pro is officially announced on October 22, 2020. The dimension of the device is 162.9 x 75.5 x 9.1 mm while it weighs 212 grams. The device is powered by...
  11. DEALFORREAL

    Sony Alpha NEX-5 14.2MP Digital Camera TWIN LENS KIT - 18-55mm and 16mm + Flash

    Nauza Sony Alpha NEX-5 14.2MP Digital Camera ipo katika hali nzuri kabisa original box Na inauzwa pamoja na lens zake 2 kama unavyoonekana katita picha imetumika kidogo sana ipo kama mpya bei TZ 650000. LAKI SITA NA NUSU. ISO range: 200-12800 HD 1080 video TWIN LENS KIT - 18-55mm and...
  12. S

    Nyumba ya KUB Mbowe ina CCTV, zinaweza kutoa ushahidi kama alianguka au alivamiwa

    Ni aibu kwa bunge badala ya kujadili bajeti ya nchi, linatumia siku mbili kujadili tukio la kuvamiwa Mbowe. Cha kusikitisha hawajadili namna ya kumsaidia mbunge mwenzao bali wanapiga majungu. Jana Msukuma kasema Mbowe alikuwa anakunywa Konyagi Kubwa (Faru John) na ndio iliyopelekea kuanguka na...
  13. TECNO Tanzania

    Tecno spark 5, simu yenye kamera 5 kuzinduliwa

    Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO, inatarajia kuzindua simu yake mpya aina ya TECNO SPARK 5 yenye kamera 5 Ijumaa hii kwa njia ya mtandao, ikiwa ni mara ya pili kuzindua kwa njia hiyo ya mtandao ambayo kwa mara ya kwanza ilitanguliwa na TECNO CAMON 15. Akizungumza kwa njia ya simu leo jijini...
  14. M

    18 Wierd trees captured on Camera

    Mother-nature can also be represented with their unique and innovative ways of structuring natural beings. Speaking of 'amazing' and 'creativity,' here are 18 images of trees in various parts of the world. Because of their strange structure and appearance these tree are seen to have some strange...
  15. Alex Hamadi Hamis

    INAUZWA Canon 5D Mark II Body Only Inauzwa

    Condition: Used for about 4 months Price:400k TZS (price is negotiable) Problem: Focus Screen (costs 150 - 200k TZS to fix) Pick Up: Sinza A Currently market price: $1000 USD - $1500 USD Any serious buyer, contact me: +255676095799 (WhatsApp) +255683018095 (Calls/SMS)
Back
Top Bottom