cameroon

Cameroon ( (listen), French: Cameroun), officially the Republic of Cameroon (French: République du Cameroun), is a country in west-central Africa. It is bordered by Nigeria to the west and north; Chad to the northeast; the Central African Republic to the east; and Equatorial Guinea, Gabon and the Republic of the Congo to the south. Its coastline lies on the Bight of Biafra, part of the Gulf of Guinea and the Atlantic Ocean. The country is sometimes identified as West African and other times as Central African, due to its strategic position at the crossroads between West and Central Africa. Its nearly 25 million people speak 250 native languages.Early inhabitants of the territory included the Sao civilisation around Lake Chad, and the Baka hunter-gatherers in the southeastern rainforest. Portuguese explorers reached the coast in the 15th century and named the area Rio dos Camarões (Shrimp River), which became Cameroon in English. Fulani soldiers founded the Adamawa Emirate in the north in the 19th century, and various ethnic groups of the west and northwest established powerful chiefdoms and fondoms. Cameroon became a German colony in 1884 known as Kamerun. After World War I, it was divided between France and the United Kingdom as League of Nations mandates. The Union des Populations du Cameroun (UPC) political party advocated independence, but was outlawed by France in the 1950s, leading to the Bamileke War fought between French and UPC militant forces until early 1971. In 1960, the French-administered part of Cameroon became independent, as the Republic of Cameroun, under President Ahmadou Ahidjo. The southern part of British Cameroons federated with it in 1961 to form the Federal Republic of Cameroon. The federation was abandoned in 1972. The country was renamed the United Republic of Cameroon in 1972 and the Republic of Cameroon in 1984. Paul Biya, the incumbent president, has led the country since 1982; he previously held office as prime minister from 1975 on. Cameroon is governed as a Unitary presidential republic.
The official languages of Cameroon are French and English, the official languages of former French Cameroons and British Cameroons. Its religious population is predominantly Christian, with a significant minority practicing Islam, and others following traditional faiths. It has experienced tensions from the English-speaking territories, where politicians have advocated for greater decentralisation and even complete separation or independence (as in the Southern Cameroons National Council). In 2017, tensions over the creation of an Ambazonian state in the English-speaking territories escalated into open warfare.
Large numbers of Cameroonians live as subsistence farmers. The country is often referred to as "Africa in miniature" for its geological, linguistic and cultural diversity. Its natural features include beaches, deserts, mountains, rainforests, and savannas. Its highest point, at almost 4,100 metres (13,500 ft), is Mount Cameroon in the Southwest Region. Its cities with largest populations are Douala on the Wouri River, its economic capital and main seaport; Yaoundé, its political capital; and Garoua. Cameroon is well known for its native music styles, particularly Makossa and Bikutsi, and for its successful national football team. It is a member state of the African Union, the United Nations, the Commonwealth of Nations, Non-Aligned Movement and the Organisation of Islamic Cooperation.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Jengo jipya la Bunge la Cameroon ni alama ya ushuhuda wa urafiki wa kunufaishana kati ya China na Cameroon

    Hivi karibuni, China imekabidhi funguo za jengo jipya la Bunge la Cameroon kwa Spika wa Bunge hilo, Cavaye Yeguie Djibril katika hafla iliyohudhuriwa na maofisa wa serikali, wanadiplomasia, na wageni wengine waalikwa. Spika Cavaye amesema, jengo hilo ni kubwa zaidi, zuri zaidi na lenye kuvutia...
  2. Cameroon: Bibi harusi anguka ghafla na kuaga Dunia wakati sherehe za harusi zikiendelea

    Katika hali kuendelea kufurahi lakini ghalfa watu wanadondosha machozi na vilio vingi baada ya kupokea au kushuhudia mmoja wao anapata tatizo ambalo linampelekea kufariki dunia. Sikia hiki kisa kutoka huko Cameroon ========= Katika hali ya kushangaza Jumamosi ya Oktoba 26, bibi harusi...
  3. W

    Samuel Eto'o apigwa marufuku kuhudhuria Mechi za Cameroon kwa Miezi 6

    Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECAFOOT), Samuel Eto'o (43), amepigwa marufuku kuhudhuria mechi zozote za kimataifa zinazohusisha nchi hiyo kwa miezi 6, baada ya uamuzi wa kamati ya nidhamu ya FIFA FIFA imetoa uamuzi huo baada ya mechi kati ya Cameroon na Brazil uliofanyika Septemba...
  4. M

    Hii ni tafsiri ya maendeleo kutoka Kwa lazern muisraeli aliyeishi sana Cameroon,

    "watu duni kifikra hudhani ujenzi wa miundombinu ni maendeleo, yaani barabara, reli, madaraja, hayo sio maendeleo ni mahitaji ya eneo husika tu" Hayo hapo juu ni maneno ya rafiki yangu mmoja kutoka moja ya nchi zilizoendelea na katika maongezi aliendelea kueleza yafuatayo. Mtazamo wa maendeleo...
  5. Nigeria na Cameroon mtu kuwa na PhD tatu au nne ni kitu cha kawaida

    Habari, Jamani tukazane kuhimiza mabadiliko ya kielimu Nchi kama Nigeria, Cameroon mtu kuwa na PhD tatu au nne ni kitu cha kawaida mnoo, alafu yuko ametulia mahali tu'' - @SamsonChazz
  6. Rais Paul Bia: Mbona umri wa Biden bado

    Soma Mwenyewe maneno ya Raisi Paul Bia Wa Cameroon
  7. Wafuasi wanamsihi Rais Paul Biya mwenye umri wa 91 wa Cameroon ambaye ameongoza kwa miaka 40 kugombea urais wa 2025

    Wafuasi wanamtaka kiongozi mkongwe zaidi duniani, Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 91, Paul Biya, kugombea urais katika uchaguzi wa urais wa 2025, ukiwa ni uwezekano wa kuongeza utawala wake wa zaidi ya miongo minne. Watu kadhaa walikuwa wakipiga nyimbo katika mji mkuu wa Cameroon...
  8. Kimenuka: Mchezaji Geremi Njitap ataka kumtaliki mkewe baada ya kubaini watoto mapacha aliowakuza kwa miaka 16 sio wake'

    Ndoa ya Nyota wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya Cameroon, Geremi Njitap ipo katika mchakato wa talaka baada ya kubainika Watoto Mapacha waliozaliwa Mwaka 2008 miaka minne kabla ya kufunga ndoa na mkewe, Toukam Fotso Laure Verline si wake Kibaiolojia Geremi (45) amefungua kesi Mahakamani...
  9. AFCON: Senegal yaingia Hatua ya 16 Bora wa kuipiga Cameroon magoli 3-1

    Timu ya Taifa ya Senegal imefanikiwa kuingia Hatua ya 16 Bora ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), leo Januari 19, 2024 kwa kuifunga Cameroon magoli 3-1, hivyo kufikisha pointi 6 katika Kundi C ikiwa imesaliwa na mchezo mmoja. Magoli ya Senegal yamewekwa wavuni na Ismaila Sarr...
  10. Rais wa Cameroon afanya mabadiliko kwenye Bunge na Wizara ya Ulinzi

    Huku mapinduzi yakizidi kuenea ukanda wa Afrika Magharibi, Rais wa Cameroon bwana Paul Biya mwenye umri mwenye miaka 90 amelifanyia mabadiliko Bunge pia amefanya mabadiliko makubwa katika Wizara ya Ulinzi. Hivi karibuni ameteua watumishi wapya katika huduma za ndani na nje za Wizara. Biya...
  11. CAF yaombwa na Wadau wa soka wa Cameroon kuchunguza madai ya mwenendo usiofaa wa Samuel Eto’o

    Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) imesema linafanya uchunguzi baada ya kupata malalamiko kutoka kwa Wadau wa Cameroon wakitaka kuchunguzwa kwa mwenendo usiofaa wa Samuel Eto’o ambaye ni Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECAFOOT). CAF inachunguza maombi haya kwa kuzingatia na kwa mujibu...
  12. B

    Wanandoa wapigwa risasi na kufa nchini Cameroon

    Watu wasiojulikana na waliojihami kwa silaha katika mji mkubwa zaidi wa watu wanaozungumza Kiingereza nchini Cameroon, wamewaua takriban watu tisa, wakiwemo wanandoa wapya. Simplice Lontsi Tsomene, 37, na Hélène Raisa Tanga, 25, walikuwa wazazi wa watoto watatu na walikuwa na duka la simu...
  13. MVP wa Cameroon na Rwanda kwenye picha ya pamoja

    Sio kwa ubaya lakini. Mnatuchukia kwani kosa letu ni nini?! 😀😀😀 Nunueni jezi kwanza ndio mpate hela ya usajili
  14. Mwanahabari auawa na wasiojulikana Cameroon

    Mtangazaji na Mwandishi maarufu wa Habari za Michezo nchini Cameroon Anye Nde Nsoh, ameuawa katika mji wa Bamenda uliopo Kaskazini Magharibi mwa nchi. Ripoti zinasema kuwa Nsoh alikuwa kwenye baa alipovamiwa na watu wasiojulikana na kushambuliwa kwa risasi. Kwa miaka mingi sasa Bamenda imekuwa...
  15. Simba ya 2023 inafanana sana na Cameroon ya 1990

    Mimi kwa kuwa ni mpenzi wa dhati wa soka, nimewahi kukaa na kuangalia mechi na wachezaji wa zamani na kujua kwa kina historia mbalimbali za soka maana bila kujua ulipotoka hauwezi kujua unapokwenda. Leo nimewaza timu ya Simba inayoonekana kuwa na wakongwe wengi ambao wanaelekea ukingoni mwa...
  16. Raia wa Nigeria na Cameroon wakamatwa na mashine ya kuchapisha Pesa Bandia

    Maofisa Uhamiaji mkoa wa Pwani wamewakamata raia wawili wa Afrika Magharibi wakiwa na karatasi za kuchapisha pesa bandia, kemikali na kasiki (safe) la kutunzia fedha. Watu hao wamekutwa pia na hati za kusafiria 34 za nchi za Nigeria na Ghana. Mkuu wa Mkoa wa Pwani ambaye pia ni mwenyekiti wa...
  17. L

    Mwanafunzi wa Cameroon atoa uzoefu wake wa kusoma nchini China

    Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Pili cha Yaounde nchini Cameroon imefanya mkutano wa hadhara wa “Soma nchini China, changamsha maisha yako", na kumwalika Joseph Olivier Mendo’o, ambaye ni mhitimu wa Taasisi hiyo kutoa uzoefu wake wa kusoma nchini China. Takriban watu 200, wakiwemo...
  18. W

    Mliokuwepo wakati 'bana ba cameroon' inatoka naomba uzoefu wenu!

    Ndo hivyo! Sijazaliwa kipindi hicho, lakini haki ya nani huu wimbo huwa sichoki kuusikiliza. Waheshimiwa mliokuwepo kipindi unatoka naomba mnipatie picha tu la vibe Lake lilikuaje maana hiki kibao si cha mchezomchezo!
  19. Cameroon: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi ahukumiwa miaka 30 jela, mkewe pia jela miaka 10

    Mahakama imemhukumu Edgar Alain Mebe Ngo'o kwa kosa la ubadhirifu takribani Dola Milioni 40 (Tsh. Bilioni 93) katika mkataba wa kununua vifaa vya kijeshi kutoka Brazil. Mkewe, Bernadette, pia amekutwa na makosa ya aina hiyo na kuhukumiwa miaka 10 jela, wote wamekana makosa na kuahidi kukata...
  20. Cameroon: Waandishi wa Habari waomba ulinzi baada ya mwenzao kuuawa

    Ni kufuatia Mauaji ya Martinez Zogo, na mwili wake kutupwa Nje kidogo ya Mje Mkuu Yaoundè, Jan. 22, 2023 baada ya kutekwa nyara na watu wasiojulikana Siku chache kabla ya kifo chake, Mwandishi huyo aliyekuwa Mkosoaji wa Serikali, alikuwa ametishia kufichua Ufisadi Serikalini Shirika la kutetea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…