cameroon

  1. Teko Modise

    Rais Paul Biya wa Cameroon afanya sherehe ya kutimiza miaka 40 madarakani

    Paul Biya ni Rais wa Cameroon ambapo amekaa madarakani miaka 40 sasa. Katika kipindi hiko chote Wacameroon wamekuwa wakimchagua tena kwa kishindo. Rais Paul Biya anaishi nchini Ufaransa kwa muda wingi wa utawala wake. Hii ndio Africa ambayo Trump aliwahi kutuambia tunahitaji kutawaliwa miaka...
  2. JanguKamaJangu

    Cameroon: Wachezaji 21 kati ya 30 wa timu ya U17 wafeli vipimo vya umri

    Vipimo hivyo ambavyo wanapimwa viganja na mifupa (MRI) vimebaini wachezaji hao wamezidi umri unaotakiwa katika kikosi cha Chini ya Umri wa Miaka 17, na hivyo kuondolewa kikosini, wakianza harakati za kutafuta watakaochukua nafasi hizo. Uamuzi wa kuwapima na kuwaondoa kikosini umetolewa na Rais...
  3. JanguKamaJangu

    Cameroon: Kipa aliyekwaruzana na kocha, astaafu kuichezea timu ya taifa

    Andre Onana (26) aliondolewa kambini wakati timu yake ikishiriki katika Kombe la Dunia 2022 baada ya kutofautiana na kocha wake, Rigobert Song. Kipa huyo wa Inter Milan alianza kutofautiana na Song katika mazoezi kuhusu mbinu za uchezaji, wakarushiana maneno na baadaye kutopangwa katika mchezo...
  4. Mwande na Mndewa

    Kolo Muani na Kylian Mbappe watimiza matakwa ya mizimu ya babu zao waliolala Cameroon na Congo

    Jana mchana niliposema Waafrika tulimtuma Kolo Muani kuwapiga kibao Morocco kwa kusema wao sio waafrika na leo tunamtuma Kylian Mbappe kuwapiga ngumi Argentina ilionekana ni kama jambo jepesi lakini lilibeba maana nzito ya kiulimwengu! Waargentina waliwatesa Waafrika miaka ya 1870 hadi 1900 na...
  5. Pang Fung Mi

    Rais Paul Biya wa Cameroon anasurika kifo Ufaransa akisherekea miaka 40 ya Urais

    Halahalaaa cameroone, habari nyepesi nyepesi toka parii na younde zinaarifu huyu ancestor presida wa kamerune yamemfika huko parii alumanusura apate lunch box ya jeneza. Hatari bini vuu. Habari kamili itawajia kupitia vyanzo timilifu. Bia anamwaga muda si mrefu. Nikiripoti habari nyepesi ama...
  6. JanguKamaJangu

    Wanajeshi wa Cameroon wakamatwa kwa kuua raia kwa risasi

    Wanajeshi watatu wanadaiwa kuwashambulia Wananchi na kuua Wanawake wawili wasiokuwa na silaha katika Kijiji cha Andeck. Wanaharakati wa kutetea Haki za Binadamu wanalaumu Jeshi la Cameroon kwa tukio hilo walilofanya wakati wakiwasaka washukiwa wanaoupinga utawala wa Serikali iliyopo madarakani...
  7. Lady Whistledown

    Wachezaji 44 nchini Cameroon kuchunguzwa kwa kughushi umri au utambulisho

    Shirikisho la Soka nchini humo Fecafoot limesema wachezaji 44 kutoka katika vilabu 8 nchini humo wanachunguzwa kwa tuhuma za kughushi umri wao au utambulisho wao. Iwapo watapatikana na hatia katika uchunguzi wa ana kwa ana unaofanyika Julai 4-8 ambapo wametakiwa kuambatana na marais wa vilabu...
  8. JanguKamaJangu

    Cameroon: Mabasi 89 yaliyotumika Afcon 2021 hayajulikani yalipo

    Miezi miwili baada ya kumalizika kwa Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) Nchini Cameroon, mabasi 89 kati ya 90 yaliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kusafirisha timu hayajulikani yalipo. Basi pekee ambalo limesalia ni lile lililokuwa likitumiwa na timu ya taifa ya Cameroon katika michuano...
  9. D

    Hivi hapa Tanzania Pana ubalozi wa Cameroon?

    Wakuu naomba kujua, Kama hapa Tanzania kuna ubalozi wa cameroon.
  10. H

    Timu za taifa za Cameroon na Senegal ziungane tupate timu moja yenye uzito wa tani moja

    Kwanza niipongeze timu ya taifa ya mpira wa miguu ya cameroon kwa kupindua meza jana 5.02.2022 dhidi ya timu ya taifa ya burkinafaso baada ya kutoka nyuma kwa mabao 3 kwa bila na ndani ya dakika 20 za mwisho wakasawazisha na hatimaye kupata ushindi wa penalt kwenye mashindano ya afcon kumtafuta...
  11. beth

    Cameroon: Ajali ya moto klabuni yaua takriban watu 16

    Serikali Nchini Cameroon imesema takriban watu 16 wamefariki dunia kwenye Klabu iliyopo Mji Mkuu wa Taifa hilo, Yaounde kufuatia ajali ya moto iliyosababishwa na fataki Kwa Mujibu wa Wizara ya Habari na Mawasiliano, Ripoti ya Awali inaonesha ajali imesababishwa na milipuko ya fataki ambazo mara...
  12. GENTAMYCINE

    Banda wa Simba SC nimemuona akicheza AFCON ya Cameroon, ila Diara wa Yanga SC namuona 'anaozea' Benchi tu. Kulikoni?

    Sasa kama Kipa Djigui Diara ( Yanga SC ) ni mdaka Mishale na kila Siku Magazeti ya Kinafiki ya Mwanaspoti na Championi yanajipendekeza Kumpamba ( Kumsifia ) mbona tokea aitwe na Mali huko AFCON ya Cameroon anaozea tu Benchi / Mkekani? Cha Kushangaza yule Mchezaji Bora na asiyeimbwa na Magazeti...
  13. Sky Eclat

    The musgum, an ethnic group in far north province in Cameroon, created their homes from compressed sun-dried mud

    A woman from the Musgum tribe, Cameroon.🇨🇲 The musgum, an ethnic group in far north province in cameroon, created their homes from compressed sun-dried mud. the tall conical dwellings, in the shape of a shell (artillery), featured geometric raised patterns. A characteristic settlement form is...
  14. MK254

    Shelter Afrique plans Sh1.65bn prefab factory in Cameroon

    Kenya’s Cabinet Secretary Housing and Urban Development James Macharia (right) hands over the chairmanship of the Shelter Afrique’s AGM Bureau to his Cameroonian counterpart Célestine Ketcha Courtes at the 40th Shelter Afrique annual general meeting in Cameroon on June 24, 2021. PHOTO | POOL...
  15. M

    Kwanini Tanzania na sio Cameroon: Imperialism and Barbaric actions against patriotism

    IMPERIALISM AND PATRIOTISM Nimekuwa najiuliza kwanini Tanzania na sio Cameroon na kwanini Magufuli regime na sio incumbent Paul Biya regime. Cameroon chini ya Rais Paul Biya aliyedumu madarakani kwa takribani miaka 36 na Cameroon iliyo na matatizo lukuki ya ndani tumeshuhudia jeshi ikiwapiga...
Back
Top Bottom