Morocco imefanikiwa kutinga hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji wenza, Canada, hivyo inasubiri mashindi wa mchezo wa Ufaransa dhidi ya Paraguay.
Ushindi huo unaifanya Morocco kuendelea kuandika historia katika michuano hiyo...