canada

  1. M

    Msaada jinsi ya kupata barua ya mwaliko Canada na Ulaya

    Wakuu mambo vipi? Naomba msaada wa kupata barua ya Mwaliko ya kwenda nchi za Ulaya hasa Canada, Finland au Denmark. Namaanisha sina mtu wa kunialika ila nataka nitapate invitation. Inawezekana kupata ya Mchongo. Nataka nifanye safari kwenye moja kati ya hizo nchi kwa visa ya muda mfupu
  2. M

    Waziri Mkuu wa Canada azomewa msikitini, aambiwa "huna haya"!

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa wafuasi wa iblis Wakati wa ziara yake ya kutembelea msikiti mjini Toronto, Waziri Mkuu wa Canada amezomewa na hadhirina kotokana na msimamo wake kuhusu mauajii yanayoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza huko Palestina ambako...
  3. Kuna Mtanzania anafanya kazi Canada?

    Kama kuna Mtanzania anayefanya kazi Canada, tafadhali naomba tuwasiliane, kuna moja na mbili za huko naomba kufahamishwa.
  4. S

    Kununua bonds Canada au United States

    Fuatia kichwa cha habari hapo juu, nataka kujua kuna uwezekano Mtanzania aiishie hapa TZ anaweza kununua bonds za nchi kama Canada au United States? Kama kuna mtu mwenye ufahamu, naomba atujuze nasi tuwekeze kwa wenzetu wageni wanavyowekeza katika nyanja mbalimbali hapa kwetu.
  5. Mzozo kati ya Canada na India una zidi kukua huku mahusiano kati yao yakizidi kuzorota huku kila upande ukifukuza Wanadiplomasia na kunyima Visa raia

    Kuna mzozo unaendelea kati ya Canada na India. Mzozo huu ulianza baada ya kiongozi wa Sikh, Hardeep Singh Nijjar, kuuawa mnamo Juni 2023 huko British Columbia. Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau, alitangaza kuwa kuna ushahidi wa kuaminika kwamba mawakala wa serikali ya India walihusika na...
  6. L

    Kuongezeka kwa mvutano kati ya India na Canada kunaonyesha unafiki wa Marekani wa wenzi unaojali faida

    Mwezi Juni mwaka huu, kiongozi maarufu wa jamii ya Masingasinga Hardeep Singh Nijjar ambaye pia ni raia wa Canada, aliuliwa kwa kupigwa risasi nchini humo. Hivi karibuni, Canada imeituhumu India kuhusika na mauaji hayo, na kumfukuza nchini humo balozi wa India. Katika kujibu hatua hiyo, India...
  7. K

    Kuhamishwa kwa Wamisai Ngorongoro, tumechelewa lakini tumpongeze Rais Samia. Tujifunze Canada na tusahihishe

    Ni muda muafaka wa kumpongeza Rais Samia kwa kuwahamisha Wamasai na wakazi wengine ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kulingana na maamuzi kama hayo yaliyowahi kufanyika Canada na Marekani. Tarehe 20 ya mwezi wa 7 kila mwaka nchini Canada wanasherehea ' National Park Day" sherehe ambayo Wacanada...
  8. Request for Proposals at Colleges and Institutes Canada (CICan)

    Request for proposals Survey of best practices for the success of women in technical and vocational short courses Bids are to be returned by email to info@tz.collegesinstitutes.ca by September 15, 2023. Contact for queries on the RFQ: Email: info@tz.collegesinstitutes.ca Subject Line: ESP...
  9. FURSA: Canada imetoa Visa maalum kwa wachomelea vyuma, Mafundi bomba na Maselemala

    Serikali ya Canada imekaribisha maombi ya Visa maalum kwa mafundi mchundo, sorry I mean kwa wateknolojia katika fani ya welding, plumbing na carpentry. Vijana hii ni fursa ambayo hampaswi kuiacha ipite. Maisha ni malengo. Kila la heri. Dr Matola PhD unaona nilichokua nachangia kule kwenye uzi...
  10. Suala la Viza ya Marekani na Canada Serikali ya Tanzania ivunje ukimya, foreign affairs watimize majukumu yao

    Wakuu kuna hili swala la viza ya Marekani na Canada nadhani si la kukaliwa kimya. Ni kweli hizo nchi zina haki na mamlaka ya kuamuwa wanavyotaka lakini waziri wetu wa foreign affairs linapotokea jambo linawakwaza hana budi kukaa kikao na Mabalozi wa hizo nchi mbili hili kuondowa changamoto...
  11. Baba adaiwa kumuuza mtoto, asafirishwa kwenda Canada, mama abaki analia akizunguka kuomba msaada

    Katika hali ambayo inaweza kuacha maswali mengi na mtazamo tofauti, mtoto Yusuph Issa Juma mwenye umri wa miaka 8, Mwanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Istiqaama iliyopo Ilemela Jijini Mwanza amesafirishwa kwenda Nchini Canada bila ridhaa ya mama yake. Mtoto huyo ameondoka katika...
  12. Natafuta msaada wa kupata mwongozo nipate Visa kwenda Canada

    Wadau ebu nisiongee sana naomba nisimame kama kichwa cha habari yangu nilivyoandika kwa atayekuwa na msaada au mawazo yoyote napokea
  13. B

    Kuagiza mabelo ya mitumba toka UK, Canada na USA

    Wakuu, Ninapenda kuagiza mabelo ya mitumba toka UK, CANADA na USA. nimejaribu kusearch bila mafanikio. Kwa mwenye uzoefu, naomba maelekezo au ukashare linki ya site inayo uza.
  14. Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

    Wakuu naombeni kujua jimbo sahihi kuanzia maisha, ntashukia Toronto Pearson International Airport, simjui yeyote na hii ni visa ya matembezi tu kwenye documents niliwaambia ntakaa wiki 1 ila nimeapa abadani afe kipa afe beki sirudi bongo labda waniue. Mkisha nijulisha jimbo, mnijulishe na jinsi...
  15. Hii Tanzania una shida gani? Niko mbioni kubadilisha kuwa Raia wa canada

    WASAIDIZI WA RAIS WAJITATHIMINI HARAKA. Na Thadei Ole Mushi. Rais Samia anawezekana anaitakia hii nchi Mema sana ila wanaomzunguka na washauri wake haswa wa Uchumi wakamwangusha. BOT wameweka limit na masharti kibao kuhusu watu kutoa fedha za Kugeni kwenye Account zao. Tafsiri yake ni kwamba...
  16. Mauaji ya kimbari ya watoto wadogo yaligunduliwa shule za Kikatoliki Canada

    Shule za makazi (Residential Schools) zilikuwa za mtandao wa shule za bweni ambazo ziliundwa ili kuingiza watoto wa kiasili (natives) katika utamaduni wa Kanada. Shule hizo ziliendeshwa na serikali ya Kanada na mashirika ya kidini (Kikatoliki). Watoto hao walichukuliwa kutoka kwa familia zao...
  17. H

    Canada yapanga kuipa Ukraine ndege ya Urusi Antonov an-124 RA-82078

    Ndege ya Urusi Antonov An-124 RA-82078 ambayo iliyozuiwa kuondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Toronto Pearson kwa zaidi ya mwaka mmoja itapelekwa Ukraine. Ikiendeshwa na Shirika la Ndege la Volga-Dnepr, An-124 iliwasili Canada tarehe 27 Februari 2022 ili kuleta vifaa vya kupima COVID-19 kutoka...
  18. N

    Msaada wa mtu aliye Canada kimasomo

    Salaam. Wakuu natafuta mtu aliyeko Canada kimasomo kuna mambo nahitaji msaada wa haraka. Asante.
  19. Nina mil 12. Je, inatosha mimi kuhamia Marekani au Canada?

    Wakuu mimi nna ndoto ya kuishi nje ya nchi haswa Marekani au Canada. Nimepambana kwa muda mrefu nipate scholarship za huko ila ni tough haswa kwa sisi wenye GPA za lower second. Nna million 12 fulani kibindoni vipi inatosha kutimiza ndoto? Njia ya kwenda huko nyepesi ni hipi?
  20. Namshauri Lema arudi Canada kuungana na familia yake. Haya matusi kwa watanzania yametosha sisi wanaArusha tusije laumiwa baadae

    Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa kisiasa kwa siasa alizopewa nguvu na hawa anaotukana leo basi enough is enough. Tumemchoka! Kuna watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…