Watengenezaji wa pombe nchini Canada wamelazimika kuomba msamaha kwa kuipatia pombe jina ambalo katika jamii ya Maori kwa kawaida hutumiwa kutaja ''nywele za sehemu za siri''.
Watengenezaji wa pombe wa kampuni ya Hell's Basement Brewery mjini Alberta walisema kuwa walitangaza kinywaji...
Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman ameshutumiwa kwa kutuma mamluki nchini Canada ili kumuua aliyekuwa afisa wa ujasusi wa Saudi.
Mpango huo wa kumuua Saad al-Jabri ambao haukufanikiwa ulifuata muda mfupi baada ya mauaji ya mwanahabari aliyeuawa nchini Uturuki, Jamal Khashoggi...
Salaam,
Ningependa kuwahabarisha wafugaji ,wauzaji na wasambazaji wa bidhaa za nyama (red meat & white meat) kutakua na maonyesho ya nyama na ufugaji Toronto Canada tareh 4 mpk 6 February 2021 ambapo wafanya biashara na wawekezaji wakubwa kwa wadogo wa nyama na ufugaji watakutana kuonyesha...
Watu 16 wameuawa kwa shambulio la risasi lilifanyika mjini Nova Scotia nchini Canada. Mmoja kati ya watu walioawa ni konstebo mstaafu Heidi Stevenson
Gabriel Wortman(51) amedaiwa kuwa ndiye aliyefanya shambulio hilo na kuwapumbaza askari kwa masaa mengi kwa kuwa inasemekana alikuwa amevaa kama...
Kampuni ya uchimbaji dhahabu kutoka Canada, Winshear Gold Corp imeitaarifu serikali ya Tanzania nia ya kuishitaki kwenye mabaraza ya usuluhishi ya kimataifa baada ya sserikali ya Tanzania kukiuka mikataba ya uwekezaji kati ya Tanzania na Canada.
Kinacholalamikiwa hasa ni sheria mpya ya madini...
Ungana nasi kwa kutazama video hii kufuatilia mguu kwa mguu toka wakiwasili jijini Sao Paolo Brazil wakijifanya raia wa Angola ktk utalii Brazil kisha wanaanza safari kwenda Canada.
Safari hii ya 'Wakongomani' toka Congo na nchi za Maziwa Makuu pia Afrika ya Mashariki wanaoingia Brazil bila...
Maafisa kutoka nchini Marekani wamedai kuwa ndege ya abiria ya Ukraine Boeing 737-800 iliyoanguka nchini Iran ilitunguliwa kwa kombora la Iran.
Wakati huohuo Pentagon kupitia afisa wa juu wa masuala ya kiintelijensia pamoja na afisa mwingine wa masuala ya kiintelijensia wa Iraq wamenukuliwa...
Idara ya Ujasusi ya Marekani imeripoti kwamba, Iran imehusika na kuanguka kwa ndege ya Ukraine Boeing 737-800 kwa kuangishwa kwa bomu.
=====
Iran mistakenly shot down the Ukrainian plane that crashed on Wednesday near Tehran with 176 people on board, US media report.
US officials say they...
Ndugu zangu,
Takribani majuma mawili yaliyopita Waziri wa Mambo ya nje Prof.Palamaganda Kabudi aliutaarifu Umma kutokea Dodoma siku ambayo Rais Magufuli alikuwa na kazi ya kikatiba kuwaapisha mabalozi wetu.
Prof.Kabudi alimuelezea rais huku akieleza jinsi ambavyo wananchi wa Tanzania...
Wana jamvi ninaomba ushauri wenu,
Mimi ni mwajiriwa wa serikalini nilipata nafasi ya kuja kusoma Masters kwa ufadhili wa chuo kimoja hapa Canada. Japokuwa nilifanya kazi kwa mwaka mmoja tu kabla sijaja masomoni.
Muda wangu wa masomo unakaribia sana kuisha na ninaona nafasi za ajira na maisha...
Rais Magufuli akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi leo amesema Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canada imeachiwa huru na itatangazwa siku itakapopokelewa. Pia Rais Magufuli amesema safari hii ndege hii itapokelewa Mwanza (tarehe itatangazwa).
“Ndege yetu...
Tulishuhudia Mara kwa Mara, huko siku za nyuma, watawala wetu wakitupa updates, tena wakati mwingine hata wakitupa taarifa nyingine za ziada kama vile wametuma wanasheria wetu mahiri kwenda igomboa ndege yetu iliyokamatwa huko Afrika Kusini kutokana na deni tunalodaiwa na mkulima wa huko...
Kuna Mmoja wa hao ‘ Maprofesa ‘ ndani ya hilo Jopo lao ( sasa Naibu Waziri wa Wizara ambayo nimeisahau kwa sasa ila nikiikumbuka nitaitaja ) nakumbuka baada tu ya Kufanikiwa ‘ Kuikomboa ‘ Kisheria Mbung’o / Ndege yetu huko kwa Waafrika Wenzetu Afrika Kusini alipohojiwa alikuwa akiongea kwa...
Waziri Prof Kabudi ameuliza swali zuri sana kwamba mbona Dream liner zote mbili zilizotokea Marekani zilifika salama hazikukamatwa, kulikoni Canada?
Waswahili walisema " kikulacho ki nguoni mwako". Prof Kabudi aliangalie jambo hili kwa umakini mkubwa maana hawa wapinzani wa kisiasa wa hapa...
Waziri wa mambo ya nje ameonesha kusikitishwa na zaidi ya hapo kukasirishwa na kitendo kinachofanywa na Canada kila ndege ya Tanzania inapotaka kutoka hapo.
Kwa maneno yake...."siyo Canada peke yao ndiyo wanaotengeneza ndege".
Natamani tufukue hili kaburi tujaribu kuona kulikoni Canada?
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi Kabudi amesema ndege ya Tanzania Bombardier Q400 iliyokuwa iwasili nchini hivi karibuni imekamatwa nchini Canada na kesi ipo Mahakamani
NDEGE NYINGINE YA TANZANIA YAKAMATWA CANADA
- Waziri wa Mambo ya Nje na...
The new Barrick Gold Corp is considering options for its stake in Acacia Mining PLC including possible sale, as Barrick works to end a nearly two-year-long tax dispute in Tanzania that has effectively shuttered operations there, Chief Executive Officer Mark Bristow said on Wednesday.
The new...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.