Habari Watanzania Wenzangu, Naamini zoezi la Sensa linaendelea hapo nyumbani....
Walisema Wahenga Mungu hamtupi Mja wake, mimi ni mmoja wa watu wanaoamini mafanikio ya mbali na nyumbani, si kwasababu nyumbani hapafai, hapana bali ni imani ambayo ukiwa mbali na nyumbani akili inafanya kazi mara...