Salaam,
Ningependa kuwahabarisha wafugaji ,wauzaji na wasambazaji wa bidhaa za nyama (red meat & white meat) kutakua na maonyesho ya nyama na ufugaji Toronto Canada tareh 4 mpk 6 February 2021 ambapo wafanya biashara na wawekezaji wakubwa kwa wadogo wa nyama na ufugaji watakutana kuonyesha...