Habari zenu,
Naomba msaada kuhusu hili swala. Babaangu mzazi anataka abadilishe nyumba yke aeke kwa jina ya mama kama kutransfer sasa shida inkuja imefika hatua ya TRA wao wanadaii lzima ilipwe tena 10% syo 3% ya capital gain kisa file limefunguliwa 2022 ila tngu hpo hkuna malipo ilofanyika. Na...