Kama umewahi au unamiliki kampuni basi maneno yafuatayo yatakuwepo katika msamiati wa maneno yako Share Capital, Authorized Share Capital, Paid up and issued shares. Maneno mengine ambayo utakuwa unayafahamu ni pamoja na maneno kama Limited Liability, n.k.
Kupata maana ya maneno haya ni rahisi...