Katika jamii ya baby-walker cars, ni brand gani inafaa kwa drifting?
Je, ili gari iweze kudrift, kuna any mechanical modifications zinazofanyika kwenye gari? Ama ni skills tu za driver?
Nataka kujifunza car drifting. I like it sana, just for leisure & fun.
Wajuzi wa car drifting mwageni ABCs...