Wakuu habari,
Anahitajika cashier wa duka lililoko Arusha. Upendeleo maalumu ni kwa binti wa kitanzania aishie Arusha aliye mwaminifu kwenye masuala ya pesa na kuhudumia wateja pamoja na uzoefu wa angalau miaka mitano (5 na kuendelea). Mshahara ni kati ya Tsh. 200,000 hadi Tsh.250,000...