L'AMOUR
Senior Member
- Mar 8, 2011
- 111
- 24
Wakuu habari,
Anahitajika cashier wa duka lililoko Arusha. Upendeleo maalumu ni kwa binti wa kitanzania aishie Arusha aliye mwaminifu kwenye masuala ya pesa na kuhudumia wateja pamoja na uzoefu wa angalau miaka mitano (5 na kuendelea). Mshahara ni kati ya Tsh. 200,000 hadi Tsh.250,000
Unaweza kutuma CV yako kwa email ya [email protected].
Mwisho wa kopokea maombi haya ni Ijumaa ya tarehe 10 Januari, 2025
Ahsanteni