CASSIUS CLAY 1964
Hii picha ilikuwa maarufu sana miaka ya 1960. Ilipigwa siku Cassius Clay alipomshinda Sony Liston na kuchukua mkanda wa uzito wa juu wa masumbwi.
Kwangu mimi picha hii inaniletea kumbukumbu nyingi za miaka hiyo. Kwanza nakumbuka kupokea simu kanipigia baba yangu niko nyumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.