ccm shinyanga

  1. Mkalukungone mwamba

    CCM Shinyanga yawataka Wazazi kuepuka Mahusiano ya Kimapenzi na Vijana wadogo

    Katibu wa Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga amewataka wazazi kuacha kushiriki mahusiano ya kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri, akisema vitendo hivyo vinawaharibu vijana na kuwadhalilisha wazazi wenyewe. Akizungumza leo, Machi 14, 2025 katika ziara ya kukagua uhai...
  2. Waufukweni

    LGE2024 Mongella ahitimisha Kampeni za CCM Shinyanga kwa maandamano ya hamasa

    Naibu katibu Mkuu huyo wa CCM, Taifa, John Mongella amefika Mkoani Shinyanga kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika novemba 27, mwaka huu. Sambamba na hilo Mongella ameongoza maandamano makubwa kutoka ofisi za CCM, Mkoa hadi kata ya Kitangili kuhamasisha wananchi...
  3. S

    Mkulima ahoji mtuhumiwa wa ufisadi kuzindua kampeni za CCM Shinyanga

    MTANZANIA, THOMAS NKOLA maarufu Mkulima amehoji sababu za Chama cha Mapinduzi kumruhusu Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) anayetuhumiwa kwenye kashfa mbalimbali za ufisadi kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Shinyanga. Mjumbe huyo wa...
  4. Mindyou

    LGE2024 Shinyanga: Madiwani wa CCM wadaiwa kupigana hadharani wakati mchakato wa kura za maoni unaendelea

    Katika Kata ya Ibadakuli, Manispaa ya Shinyanga, kumetokea sintofahamu kubwa kati ya diwani wa kata hiyo, Msabila Malale, na diwani wa Vitimaalumu, Zuhura Waziri, wakati wa zoezi la kura za maoni za chama cha Mapinduzi (CCM). Tukio hili lilitokea jana wakati wagombea wa CCM walipokuwa...
  5. A

    DOKEZO Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini unakiuka Katiba ya CCM na Kanuni kwa maslahi ya nani?

    Habari watanzania na wana CCM, Kwa sasa wana CCM wote wanafahamu zoezi linaloendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi ni Uchaguzi wa VIONGOZI wa CCM ngazi mbalimbali, na hivi karibuni uchaguzi umemalizika ngazi ya Kata. Katika hali ya kushangaza kuna baadhi ya Wanachama ambao ni wafanyakazi wa...
Back
Top Bottom