ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Pre GE2025 Makalla: Uchaguzi mkuu utakuwa huru, matusi na kejeli sio utamaduni wa CCM

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema anaamini uchaguzi mkuu utakuwa huru ambapo mwenye haki ya kushinda atatangazwa mshindi. Soma Pia: Amos Makalla: CCM tumejipanga Uchaguzi Mkuu kushinda kwa kishindo Aidha, Makala amesema kuwa matusi na...
  2. Pre GE2025 Jumuiya ya wazazi CCM Njombe yawanoa Mavanga sec juu ya maadili

    Naona sasa wamendelea kutia nguvu katika harakati zao za kampeni mpaka mashuleni sasa si ndiyo? ================== Tabia za wazazi Wengi kushindwa kuwalea watoto katika malezi yenye maadili mema imetajwa kuendelea kuliingiza Taifa kwenye misukosuko na mmomonyoko wa maadili kwa watoto wanaoweza...
  3. CCM na PP kuimarisha uhusiano wa Tanzania na Ethiopia - Balozi Dkt. Nchimbi

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema urafiki kati ya CCM na Prosperity Party, chama tawala cha Ethiopia, ni hatua muhimu katika kuboresha na kuimarisha uhusiano wa nchi hizo mbili, pamoja na watu wake. Balozi Nchimbi amesema kuwa ushirikiano mzuri...
  4. Pre GE2025 Mjumbe Kamati ya Siasa (CCM) Wilaya ya Ubungo: CHADEMA haiwezi kushindana na CCM majukwaani

    Mjumbe Kamati ya Siasa (CCM) Wilaya ya Ubungo Hamis Abeid Baruani ameiomba serikali kutoa uhuru wa kufanyika kwa siasa za majukwaani ili Chama Cha Mapinduzi CCM kiweze kushindana kwa hoja na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na hatimaye kuweza kuwashinda katika majukwaa na hata...
  5. Wassira, mtu aliyepitwa na wakati. ( Man out of the hours)

    Kwa malezi niliyoyapata toka kwa wazazi wangu na makuzi mengine katika maisha, huwa Sina kawaida ya kudharau mtu. Na naomba chapisho langu lisionekane kuwa personal na Mzee wassira bali litazamwe kama jicho la ukweli wangu. Malezi hayo pia yamenifanya kuwa mkweli na mtu ambaye naweza kuongea...
  6. Hali halisi ilivyo Ajira portal: Hii ndiyo serikali ya CCM inayojinasibu kumwaga ajira kwa maelfu ya wahitimu

    Katika maelfu na maelfu ya wahitimu walipo mitaani, Serikali haina nafasi hata moja ya kumuajiri mhitimu wa Accounting? Pamoja na wingi wa wahitimu hususan vijana, serikali imeamua kuwafungia vioo vijana Gen Z! ina maana Serikali nzima, pamoja na thinktank zake imefeli kabisa kuokoa taifa la...
  7. UWT Itilima: Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa CCM

    UWT ITILIMA: JUMUIYA YA UMOJA WA WANAWAKE WILAYA YA ITILIMA (UWT); MAADHIMISHO YA MIAKA 48 YA KUZALIWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) Tarehe: 31 Januari 2025 Katika kuadhimisha miaka 48 tangu kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi, Jumuiya ya Wanawake Wilaya ya Itilima (UWT) ilifanya maadhimisho...
  8. L

    Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya kuzaliwa kwa CCM. Chama ambacho kimeendelea kubeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania, chama...
  9. Pre GE2025 Dkt. Samia ni turufu ya CCM kwa Watanzania uchaguzi mkuu 2025

    π——π—žπ—§. π—¦π—”π— π—œπ—” π—‘π—œ 𝗧𝗨π—₯𝗨𝗙𝗨 𝗬𝗔 𝗖𝗖𝗠 π—žπ—ͺ𝗔 π—ͺπ—”π—§π—”π—‘π—­π—”π—‘π—œπ—” π—¨π—–π—›π—”π—šπ—¨π—­π—œ π— π—žπ—¨π—¨ 2025 Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi wa kipekee ambaye amebeba matumaini makubwa ya Watanzania. Utendaji kazi wake umejikita katika kuimarisha uchumi, kuleta maendeleo, na kuhakikisha mshikamano wa kitaifa. Kama mwanamke wa kwanza...
  10. Pre GE2025 CHADEMA sasa ni chama rasmi mbadala wa CCM

    Hiki Chama sasa kimebeba taswira ya nchi halisi ya waTZ,wale waliokua mashabiki wa mtu/watu kwa sasa wajue mtu hadumu ila systems/chama nzuri ikijengwa hudumu miaka na miaka. Ni bora watu wahangaike kutengeneza mfumo utakao ishi siku zote. Ile January 21 was really and true revolution ya...
  11. Ccm pamoja na kutegemea Dola uchaguzi wa mwaka huu uwe wa mfano ! Wapinzani anzeni mapema kuwapika wagombea ! Moto uanze chini mpaka juu bila kuogopa

    Mwaka huu iwe mwisho wa upinzani uchwara Tanzania kuingia kwenye uchaguzi kama hisani ! Wagombea ATI hawajui kujaza fomu ! Au Kuna mahali mtu anapita bila kupingwa ,au tunasikia mpinzani anatishiwa polisi ,iwe mwisho kusikia stori za kuibiwa kura za ubunge na udiwani ,iwe mwisho mapolisi...
  12. D

    2025 CCM out, mpende msipende. Vijana wamekata tamaa

    CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anaweza kuwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana. Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
  13. Pre GE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa amvaa Wasira, adai Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Wakili Deogratias Mahinyila akiwahutubia wananchi wa Mpwapwa mkoani Dodoma amemvaa vikali Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira na kudai kuwa Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha
  14. M

    Tetesi: Kundi kubwa la WanaCHADEMA wanaompinga Lissu, kuhamia CCM

    Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
  15. Pre GE2025 Wabunge wengi wa CCM majimboni kwao hali ni shwari sana, asilimia kubwa ya wanazuoni wenye vyeti muhimu kitaaluma kutetea viti vyao kiulaini

    Wanaokusudia kutetea nafasi zao kwa kutegemea pesa, bila kua na hoja mahususi, kuibua au kuchangia mijadala yenye maslahi mapana kwa wananchi wao majimboni na Taifa kwa ujumla, hali ya thank you iko wazi kabisa miongoni mwao kutoka kwa wananchi wanao wawakilisha. Na wote hao watakua replaced na...
  16. Hoja anazoaminia Makamo Mwenyekiti CCM Mzee Wassira dhidi ya Akina LISSU

    LISSU na watu wake wanataka kuleta Vita . Mabeberu wanawatumia Akina LISSU kuleta Ushoga( anasahau kua CCM haijawah kupinga ushoga hadharani ) Tukiwapa Urais Amani itapotea. Amani ya Nchi hii tutailinda Kwa gharama zote. Hao ni vibaka na walopokaji . Daaah Hivi kabisa kabisa Dola kwamba...
  17. W

    Pre GE2025 Wabunge hawa wa CCM wajipange kisaikolojia, hata washinde kura za maoni watakatwa kupisha wengine

    1. LUHAGA MPINA - huyu hata ashinde kura za maoni, ATAENGULIWA 2. NDUNGAI - Mzee hatoboi kura za maoni, ishu inamalizika chini kwa chini 3. GAMBO - apambane sana Soma Pia: Ushindani utakuwa ni mkali ndani ya CCM katika kumtafuta wa kupeperusha bendera ya Chama. Wengine hawatarejea Bungeni
  18. Nabii & Mch. Steven Gumbo: Kuna matukio 7 atakayoyafanya Tundu Lissu kuuangusha utawala wa Samia na CCM. Yameruhusiwa na Mungu. Hakuna wa kuzuia

    Nilikuwa napitapita kwenye Youtube nikakutana na video ya ndugu huyu ambaye ni nabii na mchungaji wa huduma iitwayo "Huduma ya Kristo (Christ's Ministry) iliyoko huko Arusha, Tanzania... Anachokisema hapa kinafikirisha na kutafakarisha sana na naileta hapa kushea na kujadili kwa pamoja...
  19. Kwanini maovu watende CCM, lakini walaumiwe CHADEMA?

    Kila wakati huwa sielewi akili za watu wanaowalaumu CHADEMA kwa matendo maovu yanayotendwa na CCM. Serikali kwa sasa inaongozwa na CCM (hakuna Serikali ya CCM) kwa ivo kila baya linatendwa dhidi ya CHADEMA na Serikali, ni lazima liwe linatokana na maagizo ya CCM. Kwa mfano John Magufuli akiwa...
  20. Karibu kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma

    Karibu kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yatakayofanyika Katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma Tarehe 05 Februari 2025 Mgeni Rasmi ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…