Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe, Rose Mayemba amesema anahisi CCM wana tawi lao CHADEMA. Kupitia mtandao wa X mwenyekiti huyo amenukuliwa akisema "Kwa fedha nilizoshuhudia zikimwagwa USIKU kucha,nikikumbuka fedha zilivyokuwa zinamwagwa Njombe, naanza kuhisi CCM wana tawi lao huku kwetu"
CHADEMA kutokana na uimara wake ndiyo maana inapitia hii misukosuko ya kiuchaguzi na itavuka salama.
Ila kwa kuwa CCM ni chama dhaifu kinachotegemea dola kujiendesha, hakiwezi Kamwe kupitia njia hii ya kidemokrasia inayopitia CHADEMA.
Unaweza kuwaza Majaliwa Kassim aseme hadharani kuwa na yeye...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera ameelekeza uongozi wa jiji la Mbeya, kusitisha mkataba wa mkandarasi anayejenga vyumba vitatu vya madarasa na vyoo, katika shule ya msingi mafanikio kata ya Itezi jijini Mbeya kwa kushindwa kukamilisha madarasa hayo kwa wakati.
Madarasa hayo yanayojengwa...
Nauliza tu kwamba Fedha za Chadema na accounts zake zinatunzwa na nani?
Na Malipo ya Posho Kwa Wajumbe mbalimbali yanasimamiwa na nani?
Kwako CPA Ruge
Nimekaa pale 🐼
MBUNGE WA MOSHI AWA GUMZO MITAA YA MIEMBENI
UTANGULIZI
Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Moshi Mjini Mhe. Priscus Tarimo amekuwa gumzo katika mitaa mbalimbali ya Miembeni na Njoro baada ya kuhudhuria misiba miwili iliyokuwa jirani na kufanya jambo lililotafsiriwa kuwa sio la kiungwana...
Baada ya kuendelea kwa vitendo vya utekaji na mauaji ya watu walio na mawazo mbadala kuhusu uongozi wa nchi na demokrasia kwa ujumla hata baada ya kifo cha Magufuli swali kuu ambalo wanajiuliza watu wenye akili ni kwa nini matukio haya yanaendelea?
Sote tunakubaliana kuwa Magufuli alikuwa...
Nawaonea huruma sana wanaopingana na madhalimu CCM alafu wanakimbilia nchi za Afrika Mashariki au China au Urusi.
Kwa kifupi hutakuwa salama nchi yeyote ya Afrika au kwenye hizo nchi marafiki wa CCM. Nchi za Kiarabu ndo kabisa maana majasusi wa nchi mbalimbali ndo wanafanya field zao hata...
Chuma Hayati Magufuli, Alipigaga tu Marufuku Umeme kukatika katika, kweli banaaa Biashara ya Majenereta ikafa.
Baada ya Mama kushika Hatamu, Licha ya kua ana JNHEPP Umeme bado unakatika tu.
SGR yenyewe ndo mnajionea, Wamiliki wa Ma Bus hao 🤣.
Sio kwamba Hana Taarifa, anazo sema anazipuuza ...
Kuna watu wamekaa kiti cha mbele na wanaamini kwamba Lisu kwa sababu ana ongea sana maneno makari sana basi watawala watatishika sana au atakuwa anatoa press conference kari kari na CCM watatishika sana.
Hio haipo na haijawahi tokea Duniani labda ianzie Tanzania kwa mara ya kwanza. ni sawa na...
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba akitoa maoni yake kuhusiana na uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
"Freeman Mbowe sio tough (mgumu) vile, sababu Mbowe mnaweza mkazungumza, Wenje mnaweza mkazungumza na mambo yakaenda na mkapeleka nchi yenu mbele."
"Lakini wale jamaa...
Nyerere aliianzisha CCM.
Baada ya Nyerere CCM imeongozwa na Mwinyi,Mkapa, Kikwete, Magufuli,Samia.
Na katika miaka hii yote Familia ya Nyerere imeendelea kuwa na uhusiano mzuri na Chama Cha Mapinduzi.
Sasa sioni Mbowe anatoa tatizo gani kuacha uongozi wa Chama kama ikibidi.
Kwa hiyo lolote...
Wagombea uongozi wa CHADEMA wanafanya sana midahalo. Mimi nimewapenda sana kwa kufanya hivyo.
Ninachokiamini ni kwamba, CCM walivyo waoga, hata ukimwambia mgombea ubunge wa CCM afanye mdahalo na mwanafunzi wa darasa la pili, huyo mgombea ubunge ataogopa na atakimbia mdahalo.
CHADEMA mmeonesha...
Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki
Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.