ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Wanaotaka kuondoa Usultani, umalkia na umangimeza wapo na Lissu ili chama kiwe cha Wote. Je, CHADEMA ikifanikkwa tutarajie vuguvugu upande wa CCM?

    Mpo Salama bandugu! Moja ya mambo yanayofanya hii nchi ionekane ni ngumu ni pamoja na mtu kupewa sifa za Uongo. Mfano; nchi hii kuna watu utaambiwa wanaushawishi au wanapendwa lakini ukifuatilia uhalisia wa Jambo hilo sio kweli. Utagundua sio kwamba wanapendwa Bali wanatumia Rushwa na kuhonga...
  2. JF Member

    CCM ya Makala imepigwa pigo na CHADEMA

    Kusema ukweli, CCM ya Makala iko hoi. Haina kabisa ubunifu, Imenunua magali mengi na kutengeneza misafara mirefu na foleni zisizo namaana lakini mitandaoni ni CHADEMA tupu. Wana CCM wanahoji, kulikoni huko CCM iko kama hina uchaguzi?. Kwani Makala hawezi achia ngazi ili chama kipone?. Aingia...
  3. Allen Kilewella

    Wakati CCM wanashangilia mabasi, CHADEMA wanatafakari nani anafaa kuwa kiongozi wao!!

    Utofauti wa fikra na jinsi ya matumizi sahihi ya akili kati ya Wana CCM na CHADEMA, unazidi kudhihirika kadri siku zinavyozidi kwenda. Wakati CHADEMA nchi nzima wako kwenye mijadala mizito ya nani anafaa kuwa kiongozi wao, CCM wamezama kwenye kushangilia mabasi yaliyobandikwa Stika za chama...
  4. Waufukweni

    Pre GE2025 Amos Makalla: CCM tumejipanga Uchaguzi Mkuu kushinda kwa kishindo

    Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla amesema Chama hicho kimejipanga kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika mwaka huu 2025. "Mimi niseme huyo mwenye uafadhali angekuwa CCM, hatuwezi kuwa na mgombea ambaye yuko Chama kingine, hatuwezi kuchagua upande...
  5. F

    Hivi ule mkutano wa CCM umeishia wapi? Au ni kikao cha siri?

    Juzi kati hapo CCM walitangaza mkutano wa kamati kuu ya chama. Sisikii lolote likiendelea kuna yeyote mwenye taarifa? Au ni kikao cha siri?
  6. K

    Kwanini CCM wanataka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti CHADEMA?

    Wanataka Mbowe ambaye amekuwa siku hizi kama hangati aendelee kwasababu ameshaonekana kuchoka na kujisahau 1. Wanataka waendelee kuiba kura 2. Watataka Wenje aendelee kuhonga wanaharakati wote wa chini 3. Wanaogopa ushindani 4. Hawataki katiba mpya 5. Wanataka wabunge fake 19 waendelee kuwepo...
  7. Father of All

    Kurudi CCM kwa Peter Msigwa ni kuandaa njia kwa mwenyewe ajae atakayejiunga soon?

    Ukimchunguza Peter Msigwa, kidhabu na muongo wa mwaka, durusu hata marafiki na wandani wake ambao bado wako Chadema. Ukishawajua, jiulize, je Msigwa, swahiba wa Jiwe, alikwenda kuandaa njia kwa ajili yao kurudi nyumbani? Je ni mpango wa muda mrefu wa kuiua CHADEMA? Kumbuka, Nyerere aliwahi...
  8. Allen Kilewella

    CCM wanachekesha Sana, wanakwenda kuchagua bila kujua watamchagua nani!

    Kwa siku mbili kati ya tarehe 18,19/01/2025, CCM itakuwa na mkutano wake maalum huko Dodoma. Kwenye mkutano huo, pamoja na mambo mengine, wajumbe watapiga kura ya kumthibitisha (siyo kumchagua ) Makamo Mwenyekiti wa chama hicho kwa upande wa Tanganyika. Leo siku tatu kabla ya mkutano huo...
  9. Lord denning

    Tofauti ya CCM na CHADEMA: CCM wanatumia Show Off ya Magari, mabango na Wasanii kutangaza Mkutano wao,Chadema wanatumia midahalo yenye hoja nzito!

    Mwenye macho haambiwi tazama. Kuna mikutano miwili. Wa CCM Dodoma na hii ya uchaguzi wa CHADEMA wakipanga safu yao ya uongozi. Kwa upande wa CCM tunaona hakuna hoja za msingi kuufanya mkutano wao uwe na mvuto zaidi ya show off ya mabasi, mabango kila sehemu huko Dodoma na matumizi ya wasanii...
  10. Cannabis

    Kuelekea Mkutano Mkuu maalum wa CCM, Dodoma yageuka kuwa kijani tupu

    Hali ya Dodoma ni kama inavyoonekana kwenye picha.
  11. Superbug

    Mbowe tafakari kwanini CCM wanakutaka wewe? Wakati wewe ni mpinzani wao? Ujue kanuni ya maisha adui anapokushauri jambo jua anashauri anguko lako

    CHADEMA shikilieni hapo hapo nendeni na Lissu kitendo cha ccm kuonyesha upande hiyo ni alarm tosha kwenu kwamba upande wa adui yenu ndio upande mbaya kwenu nawashauri muende na Lissu. CCM wameajiri machawa kibao mitandaoni kumpigia debe MBOWE! Je kwanini? Je Wana maslahi Gani na MBOWE dhidi ya...
  12. Waufukweni

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Pesa za jana zilitoka wapi?, alizodakwa nazo mjumbe Uchaguzi wa BAVICHA

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye Kikao amehoji; "Wananisema kuwa sina Pesa, siwezi kuendesha Chama, hebu watueleze pesa za Jana usiku zilitoka kwa nani? Tumeshuhudia vitendo vya rushwa kwenye Uchaguzi wa BAVICHA" Soma, Pia: • Kimeumana! mjumbe adakwa akidaiwa kugawa...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Lissu akishinda tunatarajia CCM italazimika kuibua akiba yake ya makada wenye akili. Machawa nafasi yao inaweza kuwa hatarini

    Tupo salama wote! Wakati CCM ipo Kimya ikiangalia yanayoendelea CHADEMA na mara kadhaa kwa Siri huenda ikijihusisha na mambo hayo kuyaingilia. Ikiwa Mbowe atashinda hakuna mabadiliko yoyote ambayo CCM itafanya. Mbinu zitakazotumika zitakuwa zilezile walizotumia kwa Miaka 20 kwani Mbowe ndiye...
  14. Mshana Jr

    CCM haitatamalaki katika utukufu tena

    Sikumbuki ni lini baada ya uchafuzi mkubwa wa kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM ilisikika tena popote! Hata matukio ya kutengenezwa ili kuiweka ccm kwenye ramani ya mijadala yalikufa mimba changa... CCM imeumilaliza mwaka 2024 kinyonge na kwa udhaifu mkubwa.. Bila nuru usoni wala...
  15. Li ngunda ngali

    Tetesi: Duru: Sugu, Wenje, Kigaila na Mwalimu kuhamia CCM

    Kwa mujibu wa mnyetishaji aliye karibu na mmoja wa wale Wabunge (Covid 19) amedai Wajumbe hao wa Kamati Kuu ya Chadema wameshakubaliana endapo Lissu ataibuka mshindi wa kiti cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa pasi na kusubiri hata siku moja mbele watatangaza kuhamia CCM. Moja ya mke wake si Mbunge...
  16. S

    CCM mnaikumbuka hii?

    ..
  17. R

    Je, mikakati ya CHADEMA inaratibiwa na wakina nani? Kwanini chama hiki kinaimarika na kupanuka huku CCM ikiondoka miyoyoni mwa watu?

    Naamini Mbowe na Kisu kuna mchezo wanacheza baada yakuona CCM imepania kuondoa siasa za ushindani nchni Ni miezi miwili sasa vyombo vya habari na wananchi wamejikita kufuatilia siasa za CHADEMA. Ni chama ambacho kimefanya mfumo wa uchaguzi uwe huru kuanzia kutangaza nia, kugombea na kushika...
  18. Pdidy

    Channel ten..rekebishen tangazo la mkutano WA ccm mwisho mmeandika tar mwezi Mwaka 2024Siku ya pili ♌

    Polen najua n MAKOSA ya kibinadamu Si mbaya tukayasahihisha Nimeangalia tangazo linasema kutakuwa na mkutano WA kamati kuu ccm Dodoma ANGALIEN mwishoni mmeandika tar mwezi sawa Mwaka 2024 badlaa ya 2025 Naamini tutaona tofauti Thx
  19. Genius Man

    CCM sio mtu mmoja ni zaidi hivyo inapaswa kuwa huru kusimamisha mgombea ambaye chama kizima kitamkubali sio eti muweke mtu kwasababu ni Rais

    Kuelekea uchaguzi mkuu nitoe wito kwa CCM kusimamisha mgombea ambaye watanzania wa chama hicho wata mchagua kuwakilisha chama mwenye hoja, mwenye uwezo na maono bora sio mnapitisha mtu kwa kuangalia heti ni raisi au sijui nani, hii itakuwa ni pengo kwenye taifa kwa ujumla kwani mtu huyo...
  20. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Lema: Nikigundua kwamba Kumuunga mkono Lissu imewakwaza nitakuwa mwanaharakati huru na sitaweza kuwa mwana CCM

    Wajameni! Lema leo ametema cheche zake katika kuelekea uchaguzi wa CHADEMA taifa. Na ameonyesha kummunga mkono Tundu Lissu ==================== Na nikigundua kwamba mimi kuwa mwanachama wa chama hiki CHADEMA kwa maamuzi haya (kumuunga mkono Lissu) ambayo ni ya kidemokrasia sana yatawakwaza...
Back
Top Bottom