ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kitongoji wa CCM ni sawa na Mkutano wa Mkoa wa CHADEMA

    Mkiambiwa hakuna wa kushindana na CCM mnaanza kulia! Huu ni Mkutano wa Kijiji cha Wende jimbo la Kalenga Iringa. CCM inakata Mbuga kwenye Vijiji na Vitongoji kwa siku zaidi ya Mikutano 10. CHADEMA wao wanafanya Mkutano wa mkoa mzima na helkopita juu lakini Mkutano wa Kijiji wa CCM ni balaa...
  2. JamiiForums Tanzania CCM itaendelea kutawala zaidi ya miaka mia ijayo

    Unajua kwanini? Jamaa ni wazoefu na wajanja sana kupita maelezo, ona mpima samaki kwa kura anavyotayarishwa. Vineno vineno, viugomvi ugomvi vitapamba moto hatimae atatimliwa na upande ule watampokea kwa mikono miwili na hatimae kumsimamisha kama mgombea na shujaa hatimaye kitakachofuata ni...
  3. JamiiForums Tanzania Naam, kwa mwenendo huu CCM inajifuta kwenye siasa za Tanzania

    Mimi ni mtu wa kawaida sana. Kauli hii inaweza usiione ina impact kubwa Inawezekana kabisa nisiione keshokutwa yangu, lakini nimejidhihirisha kuwa sauti yenye Mamlaka imeshatamka niliyoandika kwenye kichwa cha uzi huu. Tumezoea kuishi kwa hofu. Mkuu wa chama ndiye amiri Amiri anaapa kwa kutii...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kashfa za wizi na ufisadi zazidi kumuandama Mbunge Luhaga Mpina

    Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia. Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi ya kugombea Ubunge mwaka 2025 baada ya kushiriki kupora ardhi zaidi ya hekari elfu moja na...
  5. JamiiForums Tanzania Katibu mwenezi CCM Taifa anaweza kufanya ziara za kikazi Mikoani bila kuwepo Katibu Mkuu Chogolo?

    Kuuliza sio ujinga. Nimeona kila kona wanafuatana bila kuona ufanisi bali wanapokelewa kwa maelfu ya magari na kuangalia vituo vya afya bila kusikiliza kero kutoka kwa wananchi.
  6. JamiiForums Tanzania WanaChadema, kama maridhiano ni kuwa CCM watatupa wabunge ili wao waendelee kutawala, huu ni usaliti

    Yaaani kumbe tunawaza matumbo yetu tu? Tunawaza kuingia bungeni ili baada ya miaka mitano tuwe na mafao ya kumaliza ubunge na kusepa. Lakini sio kuwa na uchungu na taifa letu. Sio kuwa na uchungu na namna watanzania wanavyoonewa. Hata 2025 sidhani kama tutapata huo Ubunge.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Video: CCM imeishiwa vichwa vyenye akili bila shaka. Hivi watu wa dizaini hii ndiyo mnawapanga kujibu hoja za mtu kama Tundu Lissu kweli?

    Bila shaka hii ndiyo product ya Dodoma University faculty ya political Science. Mtazameni na msikilizeni mwana CCM tegemewa akijibu hoja za CHADEMA hususani Tundu Lissu.
  8. JamiiForums Tanzania Ofisi za Kisasa za CCM Kujengwa Igunga

    📍Igunga, Tabora "Matarajio yetu ni kuwa na Ofisi za kisasa za Chama (CCM) kwenye Kata za Jimbo letu na baadae kwenye Matawi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni ndoto kubwa , yenye dhamira njema. Tunashukuru Mwenyezi Mungu mwelekeo ni mzuri na ujenzi umeanza na inshallah tutamaliza." - Mhe...
  9. JamiiForums Tanzania Hawa ndio viongozi wa CCM tunaotarajia wajadili katiba mpya.

    CCM wanajimilikisha mpaka polisi na kuona ni utovu wa nidhamu kwa polisi kupinga kuwa CCM.
  10. JamiiForums Tanzania Hivi Mtu anaweza kuwa mfuasi wa CCM akawa anajitambua?

    Nimejaribu kufatilia vijana Kutoka CCM na wazee nimehitimisha kuwa hiki chama kinapendwa na watu wengi wasiojitambua. Hapa nazungumzia wafuasi wake na sio Viongozi Maana ili Mtu upate uongozi Unaweza weza kuingia Ccm kimkakati ukapata cheo na usiwe mfuasi wa ccm Hii nchi inahitaji Miaka 100...
  11. F

    JamiiForums Tanzania CCM mtamkumbuka Magufuli!

    Demokrasia imeanza kurejeshwa tena Tanzania. Mikutano ya vyama vya siasa imeruhusiwa kwa kiasi na uhuru wa kujieleza unarudi. Upinzani ukiongozwa na CHADEMA umeanza kurudi katika hali yake kabla ya kipindi cha udhalimu. Nimeona tayari hofu kubwa kati ya wana CCM kutokana na yanayoendelea...
  12. JamiiForums Tanzania Wana CCM Tuwe na desturi ya kupitia post (Nyuzi) humu JamiiForums na kuzijibu kwa hoja

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu....sisi makada wa Chama Cha Mapinduzi, uzalendo wetu kwenye chama chetu Ni kujibu hoja za wapinzani na kuujuza Umma wa Watanzania juu ya Mambo ambayo yamefanywa/Yanafanywa na chama chetu Cha CCM. Tujivunie uwazi uliopo ndani ya chama chetu Cha CCM na...
  13. JamiiForums Tanzania CCM ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Afrika. Nini siri yao?

    Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri...
  14. JamiiForums Tanzania Pale Katibu Mkuu wa Guam anaposoma mchezo na kuhamisha Pesa zaidi ya 12Bilion bila kufuata utaratibu, zikitoa Roho ya Bendera inayofuata maembe yake

    Ni miaka kadhaa imepita leo katika kupitia nyaraka nyeti nikaona suala lililonishangaza sana Hivi katibu mkuu wa Chama anaweza pata wapi Pesa zaidi ya 10B Tzsh ? Je ni kwamba alikuwa anawatunzia watu au ni zake ? Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama Tawala Guam na baadae kuwa Katibu Mkuu kiongozi...
  15. JamiiForums Tanzania Rais tunaomba CCM tuletee kijana Kheri James nafasi ya Uenezi Taifa. CHADEMA watapiga salute kwa propaganda zake!

    WanaJf, SALAAM! Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi. Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani...
  16. JamiiForums Tanzania Chongolo, tunaomba Katibu wa CCM kata ya Wazo achunguzwe kwa kusajili eneo la chama kwa jina lake

    - AMESAJILI ENEO LA CHAMA KWA JINA LAKE Mheshimiwa Katibu Mkuu wetu mpendwa Daniel Chongolo, sisi wanachama cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Wazo tunaomba uunde timu maalumu ya kuchunguza ubadhilifu mkubwa au matumizi mabaya ya madaraka ‘Ufisadi’ unaofanywa na Katibu wetu wa CCM Kata ya...
  17. JamiiForums Tanzania CCM haikujenga uwanja wa Sokoine Mbeya, iliwapora wananchi. Uwanja urudishwe kwa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

    Sisi wana Mbeya ni wahanga wa matukio ya kibabe ya kidhalimu yaliyofanywa na yanayoendelea kufanywa na chama hiki mumiani. Miongoni mwa udhalimu huo ni kuporwa kwa uwanja wa wananchi, uwanja wa Sokoine kisha CCM kujimilikisha. Uwanja wa Sokoine ulijengwa na wananchi wa Mbeya Mjini, kisha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe masaibu ya CHADEMA yalitokana na CCM, Magufuli na Samia. Kwanini unamtoa Rais Samia kwenye lawama?

    Masaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na Samia. Nashangaa, kwenye hotuba zake, Mbowe anajikita zaidi kwenye kumshambulia JPM badala ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa mwamko huu, CCM hawawezi kukubali Katiba Mpya

    Amini nawaambia kabisa kuwa CCM siyo wajinga kiasi hicho. Kama watawala wanafuatilia mikutano ya CHADEMA kuhusu katiba mpya naamini wanalo jambo moyoni mwao. Siamini kama watakuwa tayari kukubali kupitisha katiba mpya ya kweli kwa nia safi kabisa. Mikutano yote ya CHADEMA imekuwa na mutikio...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Njombe: Jiwe la Msingi lililowekwa na Chadema kwenye Uzinduzi wa Mradi wa Maji lavunjwa

    Taarifa kutoka Mjini Njombe zinaelezwa kwamba Jiwe la Msingi lililokuwa na maandishi ya Uzinduzi wa mradi wa Maji Uliosimamiwa na Chadema limevunjwa na Maofisa wa Idara ya Maji Njombe. Haijafahamika hasa sababu za kufanyika kwa jambo hilo la Kishamba , bali kuna muonekano wa jambo hilo kuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…