Mbowe masaibu ya CHADEMA yalitokana na CCM, Magufuli na Samia. Kwanini unamtoa Rais Samia kwenye lawama?

Mwingereza

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
1,115
Reaction score
2,771
Masaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na Samia.

Nashangaa, kwenye hotuba zake, Mbowe anajikita zaidi kwenye kumshambulia JPM badala ya kushugulika na aliyeitangazia dunia kwamba Mbowe ni ghaidi. Kulikoni, kwa nini Mbowe anamsitiri Rais Samia?
 
Hata wewe una uhuru wa kumsema vibaya Samia sio lazima Mbowe.
Mseme wewe uone nana atakukataza. CDM sio wajinga, wanamjua adui yao Mkuu aliyevuruga chaguzi zetu kwa kudhani ataishi milelel
 
Masaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na Samia.

Nashangaa, kwenye hotuba zake, Mbowe anajikita zaidi kwenye kumshambulia JPM badala ya kushugulika na aliyeitangazia dunia kwamba Mbowe ni ghaidi. Kulikoni, kwa nini Mbowe anamsitiri Rais Samia?
Nenda ukamseme huyo Samia ww. Mbowe atamsema Magufuli.
 
Tajiri atukanwi[emoji1787]

Mbatia ulimwona akimtukana jpm? , Lipumba?

Ni Zamu ya Mbowe kufyata
 
Masaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na Samia.

Nashangaa, kwenye hotuba zake, Mbowe anajikita zaidi kwenye kumshambulia JPM badala ya kushugulika na aliyeitangazia dunia kwamba Mbowe ni ghaidi. Kulikoni, kwa nini Mbowe anamsitiri Rais Samia?
Kati ya viongoz walioishiwa na nafsi zinawasuta ktk kuongea ni huyu,mnafiki haijapata tokea
 
Mbowe ni mwanaCCM mwenzetu ambaye yuko upinzani. Na sio hadi awatangazie nyumbu kwamba anamsapoti mgombea mtarajiwa wa CCM 2025. Kuna ishara kashazitoa ila inaonekana mleta mada ni mgumu kuelewa;
1. Kumpa tuzo mgombea mtarajiwa wa CCM.
2. Kiongozi mkubwa na mtu wa karibu wa Mbowe ambaye ni Lema kuamua kuwatukana makundi muhimu ya kimkakati kwenye uchaguzi yaani Bodaboda na wanawake (viccoba) ni mbinu za kumsapoti mama kwasababu automatically ni kukikosesha CHADEMA kura makusudi.
3. Kutumia hovyo hovyo ruzuku za chama.
 
Masaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na Samia.

Nashangaa, kwenye hotuba zake, Mbowe anajikita zaidi kwenye kumshambulia JPM badala ya kushugulika na aliyeitangazia dunia kwamba Mbowe ni ghaidi. Kulikoni, kwa nini Mbowe anamsitiri Rais Samia?
Kesi hii ya Ugaidi iliasisiwa na Magufuri ni bahati mbaya tu kifo kilimwahi.Na mipango hiyo aliipanga mapema kama alivyopanga kuengua wajumbe wa Vyama vya upinzani kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019,Uchaguzi Mkuu 2020,Wabunge wa viti maalum feki 19 na mwishowe kesi ya ugaidi ya Mbowe ili kuifuta kamili.
 
Masaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na Samia.

Nashangaa, kwenye hotuba zake, Mbowe anajikita zaidi kwenye kumshambulia JPM badala ya kushugulika na aliyeitangazia dunia kwamba Mbowe ni ghaidi. Kulikoni, kwa nini Mbowe anamsitiri Rais Samia?
Sasa mbona kwenye ujenzi wa Ikulu na SGR mnasema hiyo ni kazi ya Magufuli peke yake na siyo Samia?
 
Unataka amseme ili amwage buyu lake la asali?
 
Masaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na Samia.

Nashangaa, kwenye hotuba zake, Mbowe anajikita zaidi kwenye kumshambulia JPM badala ya kushugulika na aliyeitangazia dunia kwamba Mbowe ni ghaidi. Kulikoni, kwa nini Mbowe anamsitiri Rais Samia?
Samia unamuingizaje kwenye UHAYAWANI wa Magufuli? Au hujui kuwa yeye mwenyewe mara 2 alishawahi kutaka kujiuzulu u-Makamu wa Rais kutokana na vitendo vya Magufuli?
 
Back
Top Bottom