Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,812
Atasemwa hata na mawe na miti kwa ufedhuli wake. Popote alipo atalaaniwaMapipa ya asali. Kutwa kumsema vibaya hayati.
Yupo na Malaika akifurahia maisha ya Mbinguni.Atasemwa hata na mawe na miti kwa ufedhuli wake. Popote alipo atalaaniwa
Malaika wanafurahia na wauaji siku hizi?Yupo na Malaika akifurahia maisha ya Mbinguni.
Wanafurahia na watetezi wa wanyonge, waadilifu, wasio jilimbikizia mali, sio majizi, waliomtanguliza Mungu mbele, Wazalendo wa kweli.Malaika wanafurahia na wauaji siku hizi?
Mzalendo gani ijiuzia nyumba za serikali na kugawa kwa hawala? Nyerere angetaka angezichukua zooote na pasingekuwa na keleleWanafurahia na watetezi wa wanyonge, waadilifu, wasio jilimbikizia mali, sio majizi, waliomtanguliza Mungu mbele, Wazalendo wa kweli.
Cdm si tu niwajinga bali wanafananishwa na nyumba kama wewHata wewe una uhuru wa kumsema vibaya Samia sio lazima Mbowe.
Mseme wewe uone nana atakukataza. CDM sio wajinga, wanamjua adui yao Mkuu aliyevuruga chaguzi zetu kwa kudhani ataishi milelel