ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa CCM umefika na hata 2025 Rais Samia hatokuwa Mgombea wa CCM

    Yanayoendelea ndani ya CCM ni mapigo ya mwenyezi Mungu kwa CCM na viongozi wake. Wataendelea kuvurugana na mwisho wa siku chama kitapasuka mapende kadhaa. Mama hatoweza kuihimili na hata dola haitafua dafu kutuliza yatayotokea ndani ya CCM kuelekea 2025.Mama atalazimika kuachia ngazi 2025...
  2. JamiiForums Tanzania Ndugai alivunja mila na desturi za CCM, siyo katiba ya nchi

    MHE NDUGA, SPIKA MSTAAFU ALIVUNJA MILA NA DESTURI ZA CCM NDIYO MAANA WENGINE IMEWACHUKUA MDA KUELEWA. Na Elius Ndabila. 0768239284 Kwanza nianze kwa kumpongeza Mhe Ndugai kwa kujiuzulu nafasi ya Uspika. Ametimiza moja ya nguzo mhimu kiongozi bora kuwa anapokosea anapaswa kuwajibika...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Ndugai akikataa kujiuzulu CCM mtamfanya nini?

    Nimewasikia UVCCM wengi wakishinikiza Spika ajiuzulu lakini sioni hoja nzito wanatoa kumfanya kiongozi wa Muhimili ajiuzulu zaidi ya kusema amepingana na Rais ambaye ni Mwenyekiti wake. Kosa lake hasa ni lipi, kuisimamia serikali? Spika wa Bunge ana kinga ya kutoshitakiwa popote sheria...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Masikini wanachama wa CCM, mitaani wanazidi kupungua sana sana.

    Si zamani sana ilikuwa kila kona unaona bendera ya CCM inapepea na wanachama wa Chama hiki Cha CCM wametapakaa na utawajua kwa mashati yao yenye nembo za CCM na wavaa khanga nao umanjano na kijani. Sasa kuvaa nguo ya CCM ukatembea nayo mtaani ni shida na kumuona mtu kuvaa sare zao kama zamani...
  5. JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM acheni unafiki na kiherehere, mlikuwa wapi siku zote kumtetea Rais Samia mpaka msubiri aongee?

    Nchi hii siku zote tunasemaga imejaa wanafiki wa kiwango kikubwa sana cha hali ya juu. Hawa wabunge wakati Mams anadhalilishwa na kusemwa vibaya na na Ndungai kuhusu Tozo na mikopo walikua kimyaa. Kelele za kumtetea Mama zilitoka kwa Wenyeviti wa CCM mikoa na Wilaya pamoja na Karibu mkuu wa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM kampa nafasi mwanachama na mjumbe mwenzake kama anatosha kuendelea na kuamua kujihukumu mwenyewe kabla hajahukumiwa

    Ukiona bosi wako kaamua kukufikishia ujumbe kwa uchungu na tena ikizingatiwa ana moyo wa nyama ni dhahiri anakupa nafasi ya kujipima na kujihukumu mwenyewe. Na mara nyingi njia hii hutumiwa na mkosaji ili kulinda heshima na urafiki wao( Rejea kuondoka kwa waziri mkuu 2008) Kwa mamlaka yake...
  7. J

    JamiiForums Tanzania CCM haiwezi kushinikiza akina Halima Mdee waondoke na Ndugai kwa sababu Chadema bado haijasikiliza rufaa zao!

    Kwanza majina ya akina Halima James Mdee na wenzake yalipelekwa bungeni na Dr Mahela wa NEC akidai amepewa na Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika. Pili Chadema walipokea rufaa za hao covid 19 ila bado hawazitolea maamuzi kwa mujibu wa katiba yao. Hivyo CCM ishughulike na mwanachama wake Job...
  8. JamiiForums Tanzania Ni nani alienda kumuuma Rais Samia sikio kuhusu CCM wenzanke?

    Jana Rais Samia aliweka wazi kuwa baada ya kuapishwa tu, kuna mtu alienda kumpa tahadhari kuwa awe makini na CCM wenzake kuliko wapinzani kwani ndio wanaweza wakamuharibia kazi yake! Rais Samia hakumtaja jina mtu huyo. Ila kwakuwa JF ni jukwaa pana na zito, je tunaweza tukamjua mtu huyo ni...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tamko la wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM taifa

    🔰 TAMKO LA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA 🟢 Leo Tarehe 5 Januari,2022 kuanzia Saa 5:00 Asubuhi 🟢 Eneo Ofisi ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam #NyukiWaMama
  10. JamiiForums Tanzania CCM imejidhalilisha, kumbe huwa inawapa Maspika kusimamia mhimili wa Bunge ili kuficha madhambi na makosa ya serikali yake

    Jana ndio kila picha limeungua hapa nchini. Maana kauli za mkuu wa nchi na mwenyekiti wa CCM zimefunua macho watanzania. Kumbe mtu kuwa spika lazima uaminiwe na wanaCCM ili kulinda maslahi yao na ya chama chao kwa kuficha makosa yao na madhambi yao. Ila ukifanya kazi ya kusimamia serikali na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Samia Vs. Ndugai: Suluhisho ni Katiba Mpya. Wana CCM tuidai

    Bila shaka, malumbano kati ya speaker na rais Samia imeonyesha wazi kwamba, hakuna uhuru wa mihimili yetu ya uongozi. Mahakama haina uhuru wake, Bunge halina uhuru wake na Speaker pia ameonyesha udhaifu mkubwa sana kuomba msamaha pasipo na sababu ya msingi, na Rais Samia ameonyesha udhaifu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu keshapasua jipu tayari huko“ Sote tumejua CCM ni kama fisi tu wanakulana wao wao”

    Kinachoniuma sana mimi mfuasi kindakindaki wa iliyokuwa awamu ya Tano ni kwamba Masalia yetu ambayo tulitegemea 2025 yatakuwa imara yameshavunjwa miguu tayari hayana ujanja tena. Tena wamesemwa kama watoto yatima ambao hawana wazazi, tukianzia Katelephone kisha Spika (JBL) naona ndio mwisho...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwasifia waliomporomoshea matusi Ndugai, anashuka Kitonga kwa gia namba 5

    Tumewasikiliza wahuni wale hawakujibu hoja ya Ndugai, Wala mama hajajibu hoja. Alichofanya ni kuongezea matusi mengine. Washauri wa Ndugai wangemwambia akae kimya Wala asimtafute mama azungumze naye faragha. Wahuni wengine watakuwa wanaendelea kumtenga mama na Ndugai. Hii tabia ya kusikiliza...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CCM 2022 utakuwa na ushindani sana lakini si kwa nafasi ya uenyekiti

    Kuna habari za chini ya kapeti kwamba watajipanga kwenye uenyekiti kwenye uchanguzi ndani ya chama 2022 ili waweze kupambana naye vizuri vizuri panapo 2025. Historia inatuambia kuna watu walijaribu kutaka kufanya hivyo 2012 kwa kutaka kupiga kura za maruhani kwa mgombea uenyekiti lakini...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni mpasuko mkubwa ndani ya CCM, kifo cha Hayati Magufuli chatajwa kuwa sababu

    Hii ni sababu kuwa kuna dalili kuwa hata kifo cha hayati JPM kina utata mkubwa. Mpaka sasa kuna kundi la wanaCcm linalojiona kuwa lipo kwa ajili ya kupinga ufisadi na ukwapuaji wa mali ya umma. Huku kuna kundi ambalo lilifurahia kifo cha Hayati JPM likijinasibu kuwa lina mpango wa kupiga madili...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa CCM akiwa ameweka ugali aliopika juu ya karo la choo huku akifurahia. Kweli mtu ni afya

    Mahindi nayo yameanikwa juu ya karo la choo, hapa afya anajali kweli?
  17. JamiiForums Tanzania CCM wote ni walewale, lakini kwangu mimi Naona afadhali kuongozana na Rais Samia kuliko aliyepita

    Nchi sasa imepumua, hakuna kupotezwa, hakuna kutekwa, hakuna kutukanwa,hakuna kufokewa hakuna uongo, hakuna vitisho, hakuna kubaguliwa hakuna kunyanyaswa kwenye nchi yeti wenyewe. Kama ukiniuliza kati ya wawili hao mimi ni bora samia.Yule jamaa hakua mtu. Hofu inapungua taratibu kwa sababu...
  18. JamiiForums Tanzania Ndugai asisahau, kadi yake ya CCM ndio inampa uspika, CCM wanaweza kuiondoa muda wowote na akawa raia wa kawaida tu

    Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia. Wasidanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
  19. JamiiForums Tanzania Kelele za wahuni wa CCM na Zitto kumchafua hayati JPM zimeishia wapi? Walidhania watanzania ni wajinga?

    From nowhere muanze kuwaingizia sumu watanzania kuwa hayati JPM hafai kisa tu aliziba na kuwabana msifanye ufisadi.Mbona wote mmekata kilimilimi chenu? Hii nchi ina raia wanaojitambua na wameumizwa sana na wanasiasa wenye njaa na wanaopenda kujaza matumbo yao kama Bulembo, Zitto na wengine...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa 'intolerance' waliyoonesha CCM kwa Ndugai, Wapinzani si watawapiga risasi?

    Najua wengi hawampendi Ndugai, ni kutokana na uvunjifu mkubwa wa katiba na utawala wa sheria alioufanya tokea awamu ya 5, mi binafsi pia simkubali Sasa kilichonishtua ni hii reaction ya CCM iliyoonyeshwa kwa Ndugai kwa maoni aliyotoa ambayo kimsingi yalikuwa yamelenga kutetea tozo za Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…