ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Tunauza viwaja na mashamba sehemu mbalimbali kwa bei nafuu

    ok ngojaa tukuchekie mkuu
  2. JamiiForums Tanzania CCM Mnatupekeka Wapi Kiuchumi?

    Toka tupate Uhuru 1961 Tanzania imetawaliwa na Tanu na baadaye CCM lakini cha kusikitisha ni jinsi ya uchumi wa Tanzania unavyoendeshwa kwa njia tofauti katika utawala wote wa awamu sita. Awamu ya kwanza njia zote za kiuchumi zilithibitiwa na serikali na utaifishaji mkubwa wa...
  3. JamiiForums Tanzania Yawezekana Tanzania isije kupata maendeleo chini ya siasa monopoly za CCM?

    Wakati wa mwwshimiwa kikwete tuliaminishwa kwamba 1. Soon mgao wa umeme utakua historia. Akatoka madarakanai kaacha mgao unaendelea. 2. Tukaimbishwa nyimbo za uchumi wa gesi. Kiukweli wanasiasa Mungu anawaona. Ule wimbo ulikoishia anayeweza kuelezea serikali ya CCM. 3. Akaja Mweshimiwa JPM na...
  4. JamiiForums Tanzania CCM acheni Janjajanja. Mliua uchumi wa nchi miaka mitano iliyopita

    Miaka mitano mfululizo tuliona misifa na mipambio ya kumsifu mtukufu kuwa anafanya vizuiri. Ghafla eti kila kitu kimesinyaa na mnavunja rekodi kwa kuleta hadi mgao wa maji. Ukweli ni kwamba haya yote mliyasababisha miaka mitano iliyopita kwa kuacha kuusema ukweli mkahamia kusifu na kuabudu...
  5. JamiiForums Tanzania Ruvu Shooting 1-3 Simba SC | Ligi Kuu | CCM Kirumba

    NBC imerejea leo, Mechi kubwa Inayotazamiwa ni wenyeji RUVU SHOOTING vs Simba SC. Baada ya Mapumziko ya wiki kadhaa sasa ngoma inarejea Tutarajiri Nini Kutoka Kwa Simba? Au Ruvu Shooting wataendelea kuwa Bora? ===== 00' Kabumbu limeanza uwanja wa CCM Kirumba 03' Simba wanapata kona ya...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM taifa Daniel Chongolo afunga kambi la UVCCM wilaya Muleba

    KATIBU MKUU CCM TAIFA NDG DANIEL CHONGOLO AFUNGA KAMBI LA UVCCM WILAYA MULEBA. Kagoma, Muleba. Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Daniel Chongolo Katika ziara yake pamoja na Sekretrieti ya CCM Taifa Amefunga kambi la UVCCM lilioandaliwa na Uongozi wa UVCCM Wilaya Muleba Chini ya Mwenyekiti wake...
  7. JamiiForums Tanzania Tutende wema; hili la umeme na maji ni pigo sana kwa CCM

    CCM waliamini kabisa kuwa kuwafunga wapinzani especially Mbowe, kutadidimiza upinzani na CCM itatawala kwa raha. Mungu si athumani, umetokea ukame, maji na umeme ni shida Tanzania nzima, serikali ni Kama ime-panic hajui la kufanya. Wananchi Wana hasira Sana juu ya upatikanaji wa maji na umeme...
  8. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM, tusaidie haya wilayani Kakonko

    Kwanza nichukuwe fursa hii kukukaribisha - KARIBU SANA Pili, nikuombe utusaidie haya yafuatayo:- (a) Jumuiya za chama Hizi zianzishe miradi ya kiuchumi ili ziweze kuwa na nguvu za kiuchumi kwa ajili ya kupanua wigo wa utendaji kazi na kupunguza utegemezi kwenye chama - miradi ipo mingi sana...
  9. JamiiForums Tanzania PICHA: Mapokezi haya ya Viongozi wa CCM Taifa Mkoa wa Geita yana maana gani?

    Baada ya Sekretarieti ya CCM-Tanzania inayoongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Crde Daniel Chongolo kuwasili mkoa wa Geita limeibuka Shangwa na mabango kedekede yenye kumpongeza na kumtia moyo Rais Samia Suluhu Hassan, Hii ni tafsiri chanya ya anayoyafanya Rais wetu katika kuliletea Taifa letu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania CCM ya Baba na Mama kumbukeni hili

    Wakuu, Tusameheane tu nimekulia nyumba ambayo baba, Mama, Bibi na Babu wote kwa ujumla na rejareja ni CCM. Ukweli mchungu CCM HAIJADHAMIRIA kutuletea maendeleo ya kweli watu wa kusini, ukiangalia nguvu inayotumika awamu hii kuwekeza Kanda Kanda ya ziwa na kaskazini ni dhahiri mmetuona watu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga (CCM) augua uchizi

    Hii ni wake up call sasa kwa spika wao atake asitake ni lazima apimwe afya yake ya akili kama anastahili kuendelea kushika nafasi hiyo. Mkidharau ndio madhara mnakuwa na mtu ikulu chizi, bungeni mkuu wao chizi, sasa mnakuwa na Taifa la namna gani? Huu ni ushahidi wa machizi wengi bungeni ambao...
  12. JamiiForums Tanzania Ni raha sana kuwa CCM

    Ukiwa mwana CCM utaishi kwa Raha sana, maana yake ni kwamba, hutaweza kuhisi maumivu yoyote ya maisha. Kila baya kwako litakuwa ni zuri tu, na kila zuri kwako ni zuri tu, kifupi ni kwamba hakunaga stress ukiwa mwana CCM. Bidhaa zikipanda Bei kwako ni sawa tu, ukishinda na njaa pia ni sawa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Shaka awahakikishia wananchi wa Geita kukamilika kwa miradi yote ilivyoahidiwa katika ilani CCM ya 2020/2025

    Katibu halamshauri kuu ya ccm taifa itikadi na uenezi Shaka Hamdu Shaka awahakikishia wananchi wa Geita kukamilika kwa miradi yote ilivyoahidiwa katika ilani CCM. Katibu wa nec itikadi na uenezi wa ccm, shaka hamdu shaka, leo tarehe 16 novemba 2021, amewahakikishia wanananchi wa halmashauri...
  14. JamiiForums Tanzania Kama siyo Magufuli kuwaokoa 2015 na agenda ya mabadiliko CCM, leo ingekuwa chama cha upinzani

    Katika binadamu aliowaumba hapa duniani watanzania aliwapa sifa na vipawa tofauti kama ifuatavyo Wakati MUNGU amewaumba wanadamu kusahau lakini wamepewa uwezo wa kukumbuka lakini Watanzania MUNGU ametuumba kusahau milele bila kukumbuka. Mungu aliwaumba Watanzania kuwa wapole na wavumilivu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Vyama pinzani mkibarikiwa kutwaa ushindi uchaguzi mkuu mtatufanyia lipi Wananchi zaidi ya CCM?

    CCM wameshamaliza kila kitu na nchi inazidi kupaa katika ramani ya Dunia kwani chini ya CCM sasa Tanzania inavuma kama upepo wa kusi. Enyi msiosikia ambao mnatamani kukamata Uongozi wa Nchi hii mna lipi jipya la kuwashawishi wananchi ambalo CCM hawajalipitia,hawajalifanya lipi kubwa haswa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa wanachoaminishwa raia huku mtaani ni zaidi ya kansa kwa CCM yetu

    "Magufuli kafa kwa hiyo hali imerejea kama kawaida.Kwani maji mnayaona tena?" "Magufuli kafa umeme mmeona haupo tena.Kwani Kipindi cha Magufuli umeme ulikuwa unakatika hivi?" "Magufuli kafa wazurulaji wameanza tena.Kwani mliwahi kumuona Magufuli akizurula kama huyu?" CCM tujitafakri sana...
  17. JamiiForums Tanzania Wabunge CCM siwatishi lakini tusilaumiane

    Wabunge CCM msiofata matakwa ya mwenyekiti, siku zinakuja ambapo kila jina litasomwa mbele ya mwenyekiti wa CCM. Niwakumbushe tuu msipofanya kazi zenu wakuu wa mikoa na wilaya watafanya. Halafu bunge lijalo hatuhitaji upinzani ndani ya Chama kama hivi sasa hivyo wapinzani wanaostahili wawe...
  18. S

    JamiiForums Tanzania CCM tusiache kulindana, Tunaona wenzetu wanavutwa mmoja mmoja mahakamani

    Sioni shida kujitokeza na kusema ile ada yetu ya kulindana tusiiache, sasa kumekuwa na msukumo wa watu wasiojulikana kutaka au kuwafikisha mahakamani wenzetu ambao wakati ulee walikuwa ndio tegemezi na walisimamia na kukipa chama uthubutu. Hizi hila za wapinzani koko zinaonekana kuzaa matunda...
  19. JamiiForums Tanzania Mgogoro na Mgongano ndani ya CCM. Team Samia Vs Team Magufuli

    CHANZO SAHIHI Kuna Mgongano Mkubwa sana ambao unaitesa Serikali Na CCM. Juzi maeneo ya Area C Ndani ya Kihoteli kidogo Double K Dodoma haya yamebainika, Hakuna jambo liliwashtua watu kama Magufuli kuondoka Hasa Wale walikuwa wanamsujudu, Wale akina Kesi, Mlinga, Ndugai na Msukuma Bungeni...
  20. S

    JamiiForums Tanzania WaTanzania wanahitaji Mageuzi Makubwa sana - Ni lazima CCM iondoke madarakani

    Watanzania tunahitaji mageuzi makubwa sana ili tuondoke hapa tulipokwamishwa,karibia mifumo yote ya uendeshaji nchi imevurugwa na imevurugika na haiwezi kutengemaa ndani ya utawala wa kifalme wa CCM,ni lazima utawala huu uangushwe na kuwekwa kando, Angalia Bunge, angalia mahakama angangalia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…