CCM acheni Janjajanja. Mliua uchumi wa nchi miaka mitano iliyopita

CCM acheni Janjajanja. Mliua uchumi wa nchi miaka mitano iliyopita

MGOGOHALISI

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
4,555
Reaction score
6,773
Miaka mitano mfululizo tuliona misifa na mipambio ya kumsifu mtukufu kuwa anafanya vizuiri. Ghafla eti kila kitu kimesinyaa na mnavunja rekodi kwa kuleta hadi mgao wa maji.

Ukweli ni kwamba haya yote mliyasababisha miaka mitano iliyopita kwa kuacha kuusema ukweli mkahamia kusifu na kuabudu binadamu. Sasa uchumi wa nchi umekufa mnasinguzia upungufu wa maji ilihali misimu miwili mfululizo mvua zilinyesha hadi kuzua hofu ya kubomoa mabwawa.

Tuseme tu ukweli nchi imewashinda vibaya mno na imefikia hatua mnataoatapa na kutengeneza matatizo ya kusingizia. Juzi juzi tu mliwaambia Tanesco waunge watu umeme kwa 27k mkidai umeme upo wa kutosha sasa uko wapi? Nchi imejaa waongo waongo wasio na haya hadi mtoto mdogo anawaona mlivyo waongo.

Tunasubiri mtuambie mgao wa pembejeo, mgao wa gesi ya kupikia, mgao wa dawa hospitali n.k unaanza lini.
 
Magafuli kawakata wengi sana, japo kaondoka miezi mingi iliyopita utadhani bado anaendelea kuongoza Serikali ya Awamu 6
Makamba utadhani kama kateuliwa na Magufuli kuwa waziri wa Nishati na Madini.
 
Ukweli wa kihistoria ni kwamba Muislamu akishakuwa Rais wa JMT kila kitu kinakuwa hovyo in no time.
 
Magufuli na ccm walikuwa waongo sana. Sisi tuliwambia hali ya uchumi ni mbaya wakakaza shingo. Ona sasa.
Waliamua kuua uchumi kwakutokulipa madeni ya ndani,taasisi za serikali kufanya biashara(government machinery),kutumia Sera ambazo hazina tija ,ili wafanye siasa (uncertainty policies),kuongoza kwakujitoa ufahamu(herding behaviour), watu wanaojulikana wakiendelea kutojulikana , 'tukaambiwa eti hawajulikani',('giving a shield to unknown criminals) ,yako mengi ngoja niyaseme haya tu
 
Huo ndiyo ukweli mchungu. Subiri huyu mama akimaliza muda wake halafu uangaliye tupo wapi, ndiyo utanielewa.
 
What you have said is factual right but our leaders have been capitulated. They are paid not to think, but to do what they are told.
 

Hiyo hapo juu wamegundua majuzi, na wameamua kuchukua hatua jana.
 
Back
Top Bottom