Mimi sipingi, JPM alikuwa 'abari' nyingine, maana kwanza alikuwa anaongoza nchi peke yake tu hakuna cha washauri, cabinet wala bunge, nakiri huo ni uwezo mkubwa sana.
Ila tukiachana na hayo, kuna vitu unatakiwa uelewe, kwanza, nchi ya ulimwengu wa tatu kuingia uchumi wa kati ni faida zaidi kwa IMF na benki ya dunia kuliko nchi husika. Kwa misingi hiyo wanaweza kuona kabisa kuwa unatoa data za uwongo na wakakurank tu, wewe hata kama ni mdogo kiasi gani, unaamini tunaweza kujenga SGR kwa pesa za ndani Dar to Mwanza?, kutoka hapo tu hadi Moro tulishindwa kuajiri wala kutoa increament, unalijua hilo?
Pili, ni kweli wana watu wao lakini wanaweza wasipate access ya kila sehemu..
Tatu, unatakiwa kufahamu kuwa kuna kitu kinaitwa Propaganda, na sio kila kitu kinachotangazwa ni cha kweli. Nadhani utakuwa umepata mwanga kidogo!