cctv

  1. T

    Used CCTV Cameras

    Hello Nahitaji camera used. Kuanzia walau 5MP. PTZ 4 chap chap
  2. JanguKamaJangu

    Askari wanne wafukuzwa kazi kwa kufuta picha za kwenye kamera ya mwendokasi

    Mtakumbuka Mei 30,2024, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa ya kushikiliwa Askari Polisi wanne (4) kwa ajili ya uchunguzi. Askari hao walikuwa wanafanya kazi kitengo cha usalama barabarani Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro. Baada ya uchunguzi kukamilika ilibainika kuwa, askari hao walikuwa...
  3. alpha walk

    CCTV Camera installation

    habari zenu wana-jamvi, tunatoa huduma ya ufungaji wa cctv camera,electric fence,gate motor na video door bell iwe nyumbani, shuleni, ofisni hata kwenye eneo lako la kazi. Kwasasa mteja hatohusika na gharama za kutuita site kufanya survey (kwa wakazi wa Dar), tupo Kigamboni Dar es salaam kama...
  4. Roving Journalist

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yaonya ufungaji wa Kamera (CCTV) kwenye maeneo ya faragha

    YAH: ONYO DHIDI YA KUFUNGA VIFAA VYA USALAMA (CCTV) KWENYE MAENEO YA FARAGHA Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi - PDPC inatoa onyo kali kwa Taasisi na kampuni zote zinazotumia kamera za usalama ikiwa ni pamoja na maeneo ya kazi kuhakikisha wanazingatia Sheria na Kanuni za Ulinzi wa Taarifa...
  5. Mjukuu wa kigogo

    Uchawi unaweza kuonekana kupitia CCTV?

    Inasemekana tukio hili la UCHAWI limenaswa huko Zanzibar kupitia CCTV. Kumbe Teknolojia inaweza tumika kubaini uchawi
  6. PrimeTech255

    Jipatie CCTV Camera Bora na za kisasa uweze kutizama eneo lako kila unapokwenda kwa gharama rafiki

    Kuna machaguo mbali mbali ya Cctv Camera mfano HIK VISION,Dahua, nk ila Leo Ninakuletea chaguo jipya sokoni na hii ni "Ezviz" Yes "Ezviz" Wametoa Cctv Camera zisizohitaji waya Wala vifaa vya ziada kama DVR/NVR ili ziweze kufanya kazi Bali kwenye hizi camera unahitaji tu Internet na Kila kitu...
  7. Sundii

    Tofauti ya DVR NA NVR katika ufungaji wa CCTV camera

    Habar. Naomba kueleweshwa kinaga ubaga kuhusu Kaz na utofauti uliopo kati ya NVR na DVR
  8. Kaka yake shetani

    CCTV zina faida gani ? Tukio linapotokea kuonesha vibaya

    Msaada wa CCTV mimi naona ni bure yani linapotokea tatizo uwezi kuona picha vizuri.
  9. Sundii

    CCTV camera moja ya cable inauzwa shilingi ngapi

    Habar za sahizi hivi CCTV camera hizi za cable kwa hapa bongo ni TSH ngapi maana camera yangu moja imealibika. Nataka camera moja ambayo nitaireplace kwenye mfumo!
  10. Jimz Group

    Jinsi Kamera za CCTV Zinavyoimarisha Usalama Katika Sekta ya Kilimo

    Katika enzi hii inayoongozwa na maendeleo ya kiteknolojia, suala la usalama katika sekta ya kilimo na biashara zinazohusiana nalo limepewa umuhimu mkubwa. Kamera za CCTV zimekuwa zana muhimu si tu katika kulinda mali bali pia katika kuhakikisha usalama wa mimea, wanyama na wafanyakazi kwenye...
  11. Roving Journalist

    CCTV Camera zafungwa Soko la Mchikichini Karume (Dar) kubaini wanaochoma moto masoko

    Kufuatia mfululizo wa matukio ya moto ambayo yaliyokuwa yakitokea kwa nyakati tofauti kwenye soko la Mchikichini eneo la Karume, Dar es Salaam kwa sasa soko hilo linadaiwa kuja na mikakati mipya kwa lengo la kuthibiti matukio hayo yasitokee na hata yakitokea kusiwepo na athari kubwa zaidi kama...
  12. Mhaya

    Pre GE2025 NEC: CCTV zifungwe kuepusha wizi wa kura

    Tumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa...
  13. deals smart hapa

    Tunakuletea Kamera kibunifu ya Balbu ya CCTV - ongeza Usalama Wako wa Nyumbani! 🏠💡📷

    Tangazo la Kusisimua! 🌟 wana jf leo kijana wenu nawaletea bulb cctv original sio fake za kkooo 🌟 Habari zenu! nafurahi kuwapa habari ya kushangaza na ninyi nyote leo. Je, umewahi kutamani kamera ya uchunguzi ipo kama taa za ya nyumba yako? Kweli, basi swala la ulinzi dukani au nyumbani...
  14. Determinantor

    Badala ya Makonda wa Kike, SERIKALI ingelazimisha "School bus" zifungwe CCTV cameras

    Nimesikia Dada Dorothy Gwajima katangaza "School buses" ziwe na Makonda wa kike Kwa kile anachohofia watoto wetu kufanyiwa michezo michafu, sio idea mbaya ila Mimi kama mdau ningeshauri yafungwe CCTV cameras ambazo Zina uwezo wa kurekodi matukio yote. Hawa Makonda wa kike tunawaaminije? Na...
  15. N

    CCTV Cameras Installation

    OFFER OFFER OFFER CCTV CAMERA KIT AND INSTALLATION Pata huduma bora ya kufungiwa Cctv Camera kwa Bei nzuri , tunafanya kazi mikoa yote karibuni. Camera zetu zina rekodi picha yenye rangi masaa 24 mpaka gizani na zina uwezo wa kurekodi sauti. 💢CCTV camera 4 channel kit & Installation 4...
  16. Superbug

    Mnaomtetea Hayati Magufuli nionesheni kaburi la Ben Saanane, Azory Gwanda na CCTV footage ya shambulio la Lissu

    Mnaoimba uzuri wa Magufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama anadaiwa kuua watu? J, kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio...
  17. M

    SoC02 Utitiri na uholela wa ufungaji wa ‘cctv’ katika maeneo mbalimbali unavyohatarisha haki ya faragha ya taarifa za watu

    Suala la ulinzi binafsi ni jambo muhimu sana linalopaswa kupewa kipaumbele cha juu kwenye mtiririko wa Mahitaji ya binadamu katika kipindi hiki ili kujilinda na/au kuepukana na vitendo mbalimbali vya uhalifu ambavyo vimekuwa vikitokea katika jamii zetu kama vile ujambazi, uvamizi, ukatili na...
  18. M

    SoC02 Mifumo ya CCTV kamera ni jicho pekee litakalotazama jiji la Dar es Salaam

    Tupo kwenye kwenye karne ya 21 kwenye zama za sayansi na teknologia ambayo hujaribu kutatua na kuleta mbadala wa huduma na kazi zinazofanywa na mwanadamu kwenye kuhakikisha maisha ya wanadamu yanaenda na kuendelea kwa hali iliyo nzuri na ya kuridhisha . Kwa kufanikisha hilo wanasayansi kwenye...
  19. JanguKamaJangu

    Mkuu wa Mkoa aagiza shule zote za Sekondari za Dodoma kufunga CCTV Camera

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka ametoa wito kwa Shule zote za Sekondari ndani ya Jiji la Dodoma kuhakikisha zinafunga CCTV Camera ili kusaidia kubaini watu wanaojihusisha na vitendo vya kiuhalifu katika maeneo ya Shule. Ameyasema hayo wakati akizungumza na Walimu na Wanafunzi wa Shule ya...
  20. MR LINKO

    Jamaa anaswa live na CCTV akiiba Mil 7.7 ofisini

    Mtu mmoja ambaye hajajulikana amevunja milango na kuiba fedha taslimu pamoja na vitu mbalimbali vyenye thamani ya Sh. 7,760,000 mali ya Shirika la Jiokoe na Umaskini yaani Stars of Poverty Rescue Foundation (SPRF) lililopo katika Manispaa ya Singida mkoani hapa. Mkurugenzi Mtendaji wa shirika...
Back
Top Bottom