cctv

  1. Z

    Mfamasia wa Wilaya apewe majukumu ya kusimamia pharmacy kwenye eneo lake. Tuache kubandika vyeti vya wafamasia kwenye maduka, siyo cctv camera

    Nataka kujua cheti cha mfamasia kinaruhusiwa kubandikwa kwenye pharmacy ngapi ndani ya wilaya anakoishi? Maana kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja basi haina maana kabisa. Kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja kwa maana ya kuzisimamia, kazi hii angepewa...
  2. Napendekeza kuanzishwa kwa kampuni binafsi ya CCTV Surveillance kwa jiji la Dar es salaam

    Kampuni hii itaomba vibali vyote kutoka mamlaka husika kwa ajili kufunga Camera katika sehemu zote za makutano ya barabara (Junctions), mitaa mikubwa ya wilaya zote 5 hasa hasa katikati mwa mji, Sinza, Kinondoni, Masaki Nk. Linapotokea tukio lolote, mfano wizi wa vifaa vya gari, wizi wa gari...
  3. Nimesikitishwa sana! Kumbe mama mkwe kaweka CCTV camera kwenye nyumba aliyotupa

    NIMESIKITISHWA SANA; KUMBE MAMA MKWE ALIWEKA CCTV CAMERA KWENYE NYUMBA ALIYOTUPA. Anaandika, Robert Heriel. Niweke wapi USO wangu! Mambo yote hadharani! Tupu zangu zipo ukweni, Wanazitazama tadhani Filamu ya ngono, Wanayatazama maungo yangu, afadhali yangekuwa maungo ya nje lakini mpaka Uchi...
  4. N

    Tunafunga uzio wa umeme (Electric fence)

    ELECTRICAL FENCE SPECIAL OFFER (19,000/= per meter) fungiwa electrical fence kwa 19,000/= kwa mita moja, gharama iyo inajumuisha vifaa vyote vinavyotumika na ufundi, bei iyo ni kwa eneo la kuanzia mita 70 kuendelea, tunafanya kazi mikoa yote popote pale tunakufikia mteja, wahi sasa. Piga...
  5. Kesi ya Sabaya: Ushahidi wa Video za CCTV waonesha shahidi akitoa fedha benki alizomkabidhi Ole Sabaya

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imelazimika kuahirisha kuendelea kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita baada ya shahidi wa 10, Francis Mrosso kudai kuwa anajisikia vibaya. Leo Novemba 24, 2021 shahidi huyo wa Jamhuri...
  6. Kwa nini Serikali inashindwa kufunga CCTV camera kwenye mataa?

    Kwa waliowahi kununua CCTV camera tunaomba mtusaidia, hivi set moja inauzwa bilioni ngapi kwani? Maana hadi serikali imeshindwa kununua walau seti kumi tu za kufunga kwenye mataa kama ya Mwenge, Morroco Nk, inamaanisha zitakuwa ni bei mbaya sana. Seti moja inauzwa Trillioni ngapi kwani...
  7. Video ya mchawi/mwanga aliyekamatwa akiwanga ina ukweli?

    Nimeiona hii video ya tukio lililotplea tarehe 4 ikimuonesha mchawi akiwanga, pia anaonekana live anapotea Teknolojia ya ku edit nayo imekuwa sana siwezi kuamini moja kwa moja Najua uchawi upo maana nimewahi kukaa mitaa ambayo ikifika usiku kuna fujo zao zinafanya wengi walale kw wasiwasi...
  8. Mahakama kanda ya Arusha yakubali kupokea taarifa ya CCTV camera toka Benki ya CRDB kwenye kesi ya uhujumu Uchumi ya Ole Sabaya

    Mahakama kanda ya Arusha jumatano oktoba 27, 2021 imekubali kupokea kielelezo namba 4 kama ushahidi toka kwa Afisa tehema wa CRDB tawi la kwa Mrombo bwana Geoffrey Abimiel Nko ambaye ni shahidi namba saba wa Jamuhuri Katika kesi ya uhujumu Uchumi inayomkabili Lengai Ole Sabaya. Francis Mrosso...
  9. K

    Karibu ufungiwe CCTV cameras, electric fence & bimetric doors

    Habari zenu, mimi ni kijana wa kitanzania niliyeamua kujiongeza kwa kufanya kazi za kufunga CCTV cameras, electric fence, bimetric doors n.k. Tushafanya kazi nyingi karibu tukuhudumie tuko wawili na bei zetu ni nafuu. Pia kwa mtu yeyote anayetaka kututafutia dili karibuni pia malipo...
  10. CCTV zitumike kudhibiti Machinga

    Wafanyabiashara wasiofuata sheria za nchi/jiji wadhibitiwe kwa CCTV baada ya Agizo la kuwaondoa kutolewa. Hakuna haja ya kutumia nguvu kazi kubwa kukimbizana daily. CCTV zisaidie kukusanya ushahid ili zitumike mahakamani (faini iwe kubwa Sana)
  11. Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

    Jaji ameingia Mahakamani. Kesi Na. 16 ya mwaka 2021 inatajwa Kesi namba 16 ya 2021, jamhuri dhidi ya Khalfan Bwire, Adam Hassana Kasekwa (Adamoo), Mohammed Abdalah Ling'wenya na Freeman Aikael Mbowe Jaji anamuita Wakili wa Serikali... Wakili wa Serikali anatambulisha Jopo lake Robert...
  12. Natafuta uzoefu wa matumizi ya CCTV CAMERA

    Habari poleni na majukumu ya kazi katika kutafuta mkate wetu wa kila siku. Naenda straight to the point nimekuwa nikijifunza mtandaoni hususani education platforms Kama udemy,skillshare na courseweb kupata basics ya knowledge ya kuinstall na kufunga CCTV CAMERA. Ila practical bado siko vizuri...
  13. CCTV camera installation

    Linda nyumba yako eneo lako la biashara au kazini kwako kwa gharama nafuu kutoka kwetu. Huduma zetu ni za uhakika na usalama kabisa. Pia tunakupa offer ya maintence mwaka mzima bila gharama yoyote. Huduma zetu hujumuisha ✔CCTV camera installation ✔Electric fence installation ✔Air condition...
  14. INAUZWA Special Thread: Tunauza na Kufanya installation ya vitu mbalimbali (Kamera, Umeme wa kwenye fensi, Biometry Fingerprint nk)

    BILL COUNTER MACHINE* MASHINE YA KUHESABIA HELA 🔺Usipoteze muda mwingi kuhesabu pesa, Wateja wengi wanapenda fast & excellent services 🔺Upgrade ofisi yako iwe ya kisasa zaidi kwa kujipatia hii mashine ya kuhesabia hela ili uweze kuwahudumia wateja wako kwa haraka na ufanisi mkubwa 🔺Mawakala wa...
  15. M

    Nafasi za kazi at Shanta Mining Co. Ltd – CCTV Operator 6 Posts

    Job Positions CCTV Operator 6 Posts at Shanta Mining Co. Ltd SHANTA MINING COMPANY LIMITED EMPLOYMENT OPPORTUNITY CCTV OPERATORS (6 POSTS) SCOPE OF ROLE LEVEL OF WORK: 1 ROLE TYPE: Individual Contributor. REGION/DISCIPLINE: -Tanzania BUSINESS UNIT/FUNCTION: Singida Gold Mine, Central...
  16. C

    Hizi taa za Jokate Mwegelo mbona bei ghali hivyo jamani au zina link na satelites?

    Au labda ni teknolojia kama ya Mossad , CIA? isije ikawa zina satellite ndani, taa 32 kwa milioni 102 ukipiga hesabu ni kama vile taa moja ni tshs 3,187,000.
  17. Karibu tukuhudumie kwa huduma ya nyumba yako (Wiring, kupaka rangi, kuweka CCTV Camera)

    Kwa huduma zinazohusiana na nyumba kuweka wiring bei nafuu, kupaka rangi za kisasa, kuweka CCTV Camera, Umeme wa Fensi, Alarm systems. Karibu sana tupo kanda ya ziwa mikoani tunafika. Hutajutia huduma zetu popote tupo. Biashara ni uaminifu huna haja ya kuni-pm.
  18. Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

    Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi? Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu. Kwa mujibu wa gazeti...
  19. Naomba kujua utaratibu wa kufunga CCTV Camera

    Habari, Naomba kujua utaratibu wa kufunga CCTV Camera kwenye nyumba ya familia pamoja na gharama zake. Nawasilisha.
  20. Baada ya leseni za Drones serikali igeukie CCTV Camera

    Tanzania ni nchi tajiri sana. Serikali ya awamu ya tano imetukumbusha kuwa tuna vyanzo vingi vya mapato vinavyoweza kuleta makusanyo mengi ya kodi kupitia serikali kuu, mashirika ya umma na Mamlaka za serikali za Mitaa. Baada ya kugundua chanzo kipya ambacho ni leseni za kurusha ndege zisizo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…