cctv

  1. D

    Nimegundua kumbe kuna umuhimu wa kufunga CCTV camera sakafuni zimulike juu, maana za juu wakati mwingine zinafeli kunasa!

    Nitawapa mfano; Maeneo mengi sana siku hizi yamefungwa kamera! Tembelea MALL zote hukosi idadi kubwa ya kamera! Lakini ajabu, Pamoja na wingi wa kamera lakini bado ripoti za wizi na udokozi zinaendelea pasipo watuhumiwa kupatikana! Mazingira ya matukio mengi yanayoripotiwa ukiangalia video...
  2. B

    Suspects charged with posting CCTV footage of Uhuru, Raila freed on bail

    June 17, 2020 Nairobi, Kenya Ms Janet Magoma Ayonga, a CCTV controller contracted at the hotel and Mr Patrick Rading Ambogo, a security supervisor, who are suspected of leaking the video captured by the hotel’s CCTV cameras were Wednesday charged with unauthorised interception of computer data...
  3. S

    Nyumba ya KUB Mbowe ina CCTV, zinaweza kutoa ushahidi kama alianguka au alivamiwa

    Ni aibu kwa bunge badala ya kujadili bajeti ya nchi, linatumia siku mbili kujadili tukio la kuvamiwa Mbowe. Cha kusikitisha hawajadili namna ya kumsaidia mbunge mwenzao bali wanapiga majungu. Jana Msukuma kasema Mbowe alikuwa anakunywa Konyagi Kubwa (Faru John) na ndio iliyopelekea kuanguka na...
  4. Magereza yote kuwekwa vifaa vya upekuzi, CCTV

    JESHI la Magereza linakusudia kuongeza vifaa vya upekuzi magerezani na kufunga kamera za usalama za CCTV, ili kubaini vitendo viovu vinavyofanyika ndani ya magereza hayo. Hayo yalisemwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakati ikijibu swali la Mbunge Viti Maalumu, Rukia Kassim Ahmed (CUF)...
  5. Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri. Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
  6. Muumini anaswa na CCTV akiiba sadaka Kanisani

    Mwanaume mmoja nchini Kenya amekamatwa kwa kosa la kuiba kanisa Kanisani. Peter Muiya Irungu amenaswa na camera za siri zilizofungwa Kanisani hapo. Inadaiwa kuwa, Peter ni mmoja kati ya Waumini wazuri wa kanisa hilo na hajawahi kukosa ibada hata siku moja hivyo kitendo hicho kimewashangaza...
  7. Cctv camera installation Arusha

    CCTV INSTALLATION We are dealing with; ✴CCTV Camera Installation and Repair ✴LAN Installation ✴Computer Service & Repair ✴Electrical Fence Installation Also we can connect CCTV camera directly to your mobile phone. ️ Contract us : 📶0716128815 (Call & WhatsApp 24/7) Location: Arusha
  8. Hivi ndio CCTV Camera zinavyofanya kazi. Msitufanye mandondocha

    Hii ni salamu kwa Watakatifu wetu Vyombo vyenye Mamlaka, vinavyojua kazi zao vyema na Ambao hawayumbishwi na kelele zetu za Mitandao kuwafundisha kazi. Tafadhalini Angalieni namna CCTV za wenzetu waliopitwa na wakati zinavyofanya kazi. Likitokea Tukio lingine Mtafute namna nyingine ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…