cecafa women

  1. uhurumoja

    Simba Queens yachabangwa goli 2-0 dhidi ya Kawempe Muslim mbele ya Karia

    Huku Simba Queens wakiendeleza mpira wao wa papatu papatu hadi kufikia dakika ya 80 ya mchezo bado kawempe Muslim wameendelea kushika uongozi wa kuwania nafasi ya tatu. Simba Queens ambayo inaendeleza ubaya ubwela ugenini wameamua kulivua taifa nguo na kukimbia nazo kwa kufungwa kiholela kama...
  2. BRN

    Simba Queens waendelea kushusha vichapo CECAFA Women waichapa Kawempe Muslim goli 3-0

    Hii timu hii inagawa tu doze huko Ethiopia kwenye mashindano ya CECAFA Women. Zilianza 5,leo 3. Kila la kheri na hongereni kwa kuipeperusha vema Nembo ya Simba. Soma Pia:Full Time: Simba Queens 5-0 Fad Djibouti | 2024 CAF Women's Champions League - CECAFA Qualifiers
Back
Top Bottom