Mtoto wa Celina Kombani, Lucy na Mkurugenzi wa zamani wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, Sheila Lukuba wameibuka kidedea katika kura za maoni za Jumuiya ya Wanawake UWT Mkoa wa Morogoro baada ya kupata kura 1,314 na 597 mtawalia.
Lucy Kombani na Sheila waliwagaragaza wagombea wengine saba...