Picha: Celine Dion
Mwanamuziki huyo amesitisha shoo zake za Mwaka 2023 na 2024 kisha kuwaambia mashabiki wake kuwa anasumbuliwa na changamoto ya kutokuwa na nguvu za kutosha za kutembelea baada ya kugunduliwa na misuli kukaza.
Mwaka 2022, Celine (55) aliweka wazi kusumbuliwa na ugonjwa huo...
Msanii maarufu wa kimarekani, Celine Dion ameahirisha shoo zake zote kwa mwaka 2023-24 akisema hayuko imara vya kutosha kutokana na ugonjwa unaomkabili kwenye mfumo wa neva.
"Nimekuwa nikikabiliana na matatizo ya afya kwa muda mrefu, na imekuwa vigumu sana kwangu kukabiliana na changamoto hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.