Huu ni mkusanyiko wa wananchi wa kata ya Utengule huko Mlimba wakisubiri kusajiliwa kwa njia ya kisasa ya Chadema digital.
Tunawasisitiza waratibu wa mambo haya kuhakikisha tahadhari dhidi ya corona inachukuliwa ili kulinda afya za wanachama wetu, ni muhimu sana kuchukua tahadhari hiyo hasa...
Hii ndio taarifa mpya kwenda kwa Watanzania, ukitaka kadi ya kidigitali ya CHADEMA, ambacho ni miongoni mwa vyama vichache vya kisiasa vya kisasa zaidi barani Afrika kwa sasa, huna haja ya kulipa nauli hadi kwenye miji mikubwa ili kupata huduma hiyo.
Huduma imesambazwa kila mahali hadi vijijini...
Hii ndo first impression ya chadema digital app, namwona harmonize na taarifa za kuacha kazi
nkaona nsiishe apa, first impression ndo kila kitu, i decided to reverse engineer app nzima
-- hizi ni baaadhi ya mafile kwa haraka haraka baada ya reverse engeneering app nzima ya chadema digital...
Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO .
Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi...
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Aikael Mbowe amezindua mfumo wa kidigital kwa ajili ya shughuli za Chama chao. Mfumo wa kidigital unasaidia kutunza kumbukumbu za Wanachama, kuratibu malipo ya ada za uanachama kwa urahisi pamoja na kurahisisha mfumo wa taarifa kutoka katika Chama kwenda kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.