Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, maombi ya kutaka CHADEMA ipigwe 'STOP' TENA KUFANYA SIASA yametupiliwa mbali na Mahakama
Maombi hayo yaliletwa Mahakamani hapo na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohammed na mwenzake Ahmed Rashid Khamis...