chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mpaka sasa, hakuna mwenyekiti wa kanda au mkoa wa CHADEMA anaemuunga mkono Tundu Lisu kua mwenyekiti wa CHADEMA taifa, kulikoni?

    Aliwakosea nini hawa wenyeviti wa chadema wa mikoa, hata asiwepo hata moja wao tu kumuuunga mkono Kibaraka kwenye nafasi ya mwenyekiti wa Taifa? Nimemskia mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mbeya, kwa dharau sana akihoji kwamba, mtu ambae hana uhakika hata na usalama wake tu, ndio apewe uenyekiti wa...
  2. Waraka wa Zitto Kabwe wakati anahama CHADEMA

    Itakumbukwa kwamba mwaka 2013 nilivuliwa nafasi za uongozi ndani ya chama cha upinzani CHADEMA, na Machi 2015 nilifukuzwa rasmi na chama hicho. Katikati ya kufukuzwa kwangu ni waraka ulioandikwa na Samson Mwigamba, aliyekuwa mwenyekiti wa chama mkoa wa Arusha, na kuhaririwa na Profesa Kitila...
  3. Pre GE2025 Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025

    Januari 13 na 16, 2025, mabaraza ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya vijana (Bavicha), wazee (Bazecha) na wanawake (Bawacha) yanafanya uchaguzi wa kupata viongozi wake, huku makundi mawili kwenye Uchaguzi ngazi ya Uenyekiti kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu yakitarajiwa kuibua...
  4. Pre GE2025 Wassira: Tutaanza kuendeleza maaridhiano. Anayesema hakuna maridhiano haturidhiani na mtu mmoja, tunaridhiana na jamii

    Akiwa anawasilimia wana CCM na wageni waliofika kwenye mkutano mkuu, Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Ndg. Wassira amesema ataanza kushirika na maridhiano, na kwamba hakuna maridhiano na mtu mmoja bali na jamii. Dongo hilo limerishwa kwa Lissu likiwa la moto kabisa! Pia soma: Lissu: Habari ya...
  5. Lissu amemchakaza Mbowe kura za mabaraza ya CHADEMA

    Uchaguzi wa Mabaraza yote umekamilika kwa Asilimi 100 Namba zinasema hivi πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½ Mabaraza yote yana Jumla ya kura 99 1. BAZECHA 33 -TAL 15 -FAM 18 2. BAWACHA 33 TAL 17 FAM 16 3. BAVICHA 33 TAL 31 FAM 2 Jumla Tundu Lissu 63 Freeman Mbowe 36.
  6. Pre GE2025 CHADEMA na wengine chukueni somo kwa CCM. Japokuwa mkutano umedoda lakini kwa kujipaga wamewapiga gape vibaya sana

    Wakuu, Tumeona CCM walivuohangaika na mkutano wao kuhakikisha unafana na kuwa talk of the town lakini bado kumedorora utafikiri hawajabeba wasanii wote Tanzania mpaka Kongo :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKLaugh: Lakini pamoja na yote hayo, kwenye kujipanga na kuhakikisha jambo lao linakuwa super...
  7. F

    CHADEMA katika Uchaguzi wao huu wa ndani hasa ktk ngazi ya Taifa kimedhihirisha hakifundi Viongozi!

    Katika kinachoitwa uchaguzi wa CHADEMA kwa watu wenye akili zinasikika zaidi kelele kuliko hoja makini na zenye kufikirisha. Viongozi wa CHADEMA wamedhihirisha kuwa wengi ni watu wanaookotana tu kutokana na kuwa " victims of circumstances" na hawana maono, maadili na sifa za kupewa dhamana za...
  8. Mch. Msigwa: Lissu anafaa kuwa Mwenyekiti CHADEMA, anaweza kuipa changamoto CCM

    Mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ndiye anayefaa kuwa mwenyekiti wa chama hicho kwakuwa ndiye mtu anayeweza kukiletea changamoto Chama Cha Mapinduzi. Pia, Soma: - Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la...
  9. CHADEMA imeipasua CCM kati kwa kati

    Pamoja na CCM kuwa chama dhaifu kinachotegemea dola na uhalifu kufanya siasa zake, lakini tena bado CHADEMA imekipasua chama hicho kati kwa kati. Mwaka 1995 wakati NCCR - Mageuzi kilipokuwa maarufu na kila mtu akiamini kwamba chama hicho kitakuja kuwa kikubwa na imara kwenye siasa za Tanzania ...
  10. M

    Ikiwa nafasi ya uenyekiti tu wa chama mnabagazana namna hii ingekuwaje kama mngeshika dola kuhusu nafasi ya Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu na Mawaziri

    Nimekuwa najiuliza sana kama nafasi ya uenyekiti wa chadema tu mnaongea hadi mnapitiliza, mnatukanana hadi wazazi wenu, mmefikia hatua ya kuua udugu wenu, zogo kila kila siku, kila mwanachama anaita vyombo vya habari anafyatuka tu, Mbowe anaongea kule, Lissu anaongea pale, Lema yuko kule, Heche...
  11. Watanzania tuheshimu kura zetu, kama CHADEMA sasa hivi wanatukanana, na hata kutaka kupinduana, ndio tuwakabidhi nchi? Hapana, tuwape muda kuwasoma

    Hawa jamaa chama chao hakijatulia kwa kiwango cha kupewa nchi au wabunge. Ndani kimeoza, kina vita, fitna, mapambano, husda. Mbowe alijaribu kuonyesha mambo yako sawa kwa busara zake kabla hajastuka kwamba msaidizi wake ni mteja wa mirembe na kinywa chake kimeoza Tuna familia, watoto, ndugu...
  12. Kukosa Kura na Kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba: Pigo Kubwa kwa Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA

    Kukosa Kura na Kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba: Pigo Kubwa kwa Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA Katika uchaguzi mkuu wa hivi karibuni wa CHADEMA, matokeo ya kukosa kura na kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba, mwenyekiti wa chama hicho, yamekuwa pigo kubwa kwa Tundu Lissu na...
  13. Uchaguzi wa Chadema kwa viongozi wa kitaifa hautakua na amani, utagubikwa na vurugu na rushwa zaidi ya ule wa Bavicha na Bawacha, utahairishwa.

    Kwa hali ya uhasama ilipofikia baina ya wagombea wenyewe, lakini pia hali ya uhasama na uadui wa kweli kabisaa baina ya wafuasi wa wagombea uenyekiti wa Chadema Taifa. Posho na malipo ya kujikimu kwa wajumbe inaweza kua chanzo cha fujo kwenye uchaguzi huo. Ni dhahiri, ustahimilivu umefikia...
  14. Pongezi TBC kwa Uchambuzi Mahiri wa Siasa! Waichambua CHADEMA very objectively. Huu ni uthibitisho TBC ni TV ya wote

    Wanabodi, Niko hapa Dodoma kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM, nimelala bonge la hotel, bonge la chumba, bonge la kitanda, ila sisi watu wa yale mablengeti, nimejikuta nimekosa kabisa usingizi, hivyo 12 :00 asubuhi nika tune TBC kipindi cha Jambo Live. Leo kuna watangazaji watatu mahiri kabisa...
  15. Z

    CHADEMA kuvuana nguo hadharani ni ushahidi kuwa bado Chama hakijakomaa

    vitendo vya kudhalilishana, kutukanana na kuvuana nguo za ndani hadharani ni ushahidi tosha kuwa Chadema bado haijakomaa. Uchaguzi wa ndani tu wanaumbuwana na kutukanana hadharani, je Wakipewa Dola si watauwana wote!!! Wao kwa wao wanatukanana, hawaheshimiani, ngumi mkononi yaani uhuni...
  16. D

    Laiti mngelijua tunavyoumia sisi walipa kodi tunavyo ona pesa inamwagwa ovyo chadema kuliko kwenye miradi ya maendeleo

    Laiti mngalijua tunavyopambana walipa kodi huku chini naimani mngeziheshimu sana pesa za walipa kodi! Ni rahisi sana wasimamizi wa fedha za serikali kutangaza kiama kwa wakwepa kodi! Lakini pesa zikishaingia kwenye himaya yao wanazitapanya wajuavyo wao! Hili peke yake linavunja sana moyo wa...
  17. Sasa ni dhahiri hakuna mwenye haiba ya Urais CHADEMA kiongozi mahiri atatoka CCM tu!!

    Nimefuatilia mitandaoni na nimejiridhisha kuwa kile Chama tulichowahi kukifikiria kuwa ni mbadala wa CCM hakina watu wenye uwezo au credibility ya hata kugombea Uongozi wa nchi hiii. Kama wananchi wazalendo tujikite kwenye kuiimarisha CCM Itawale miaka 100 ijayo.
  18. Odelo mgombea Uenyekiti CHADEMA ni mtu Nondo kweli kweli

    Binafsi sikutegemea kama bwana Odelo angekuwa na hoja nzuri namna hii Ameshusha Nondo nikasema kweli, ana hekima sana Nimempima Kwa mambo yafuatayo 1 Kutofautisha Maandamano na matembezi Kwamba CHADEMA walihimiza matembezi siyo maandano. Maandano yanapaswa yainyime serikali amani na itoe...
  19. J

    Pre GE2025 Tundu Lisu: Nitashinda uchaguzi Namba ziko upande wetu Majimbo yote na Mikoa yote tunaongoza na sitohama chama!

    Tundu Lisu amesema hataomyeshwa cha mtema Kuni na Mbowe kwa sababu anaenda Kushinda KITI chake Namba majimboni na mikoani ziko upande wetu Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa Mlale unono πŸ˜„
  20. Pre GE2025 Lissu: Mbowe amesema mimi na wenzangu tutakiona cha mtemakuni akirejea madarakani

    Wakuu! Lissu Amesema yeye akipata madaraka, atachunguza kiini cha rushwa ndani ya chama. Aidha ameongeza kuwa akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kwa sababu rushwa ni tatizo wataunda \ tume ya chama kuchunguza kiini cha rushwa pia atataka chama kiazimie kufuta rushwa, hatolipa visasi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…