chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. V

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wachemka tena, wapeleka barua ya hukumu kusiko

    SALUM Mwalimu anatuambia wamepeleka barua kwa Spika kumweleza hukumu ya mahakama iliowapiga chini kina Mdee na kwa sasa awatoe bungeni. Wamechemka tena. Anaemtangazia Spika, na anaeitangazia nchi, nani ni mbunge wa wapi kutoka chama gani sio Salum Mwalimu bali ni Tume ya Taifa Uchaguzi. Salum...
  2. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wameshatolewa kwenye reli, Vita ya ufisadi na Katiba Mpya siyo sera zao tena

    CCM wanajua siasa na kimsingi ndio chama pekee cha siasa nchini. Jiulize baada ya CCM kuzitekanyara sera za Chadema ile Vita ya mafisadi iliyoasisiwa na Dr Slaa ft Tundu Lissu pale Mwembe Yanga na hii ya Katiba mpya sasa Ufipa wamebki na nini? Mambo ya Katiba mpya sass CCM imeyabariki na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Heri ya Lyatonga Mrema ana uzalendo kuliko Mbowe na Zitto

    Wana njaa sana na wao pesa mbele. Wapo tayari kuuza watu kisa pesa tu. Ni mamluki wa CCM ambao hawana uchungu na taifa lao. Wapo kwa ajili ya matumbo yao. Bora Mrema anapinga ufisadi kwa dhati
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA yadai kwamba iliwasilisha Kwa Spika wa Bunge Taarifa ya Mdee na wenzake kushindwa kesi mara tu baada ya uamuzi wa Mahakama

    Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu, amesema kwamba chama chake kiliwasilisha kwa Spika wa Bunge la Tanzania taarifa ya kutupwa kwa kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na wenzake mara tu baada ya Uamuzi wa Mahakama kutolewa. Kwahiyo visingizio vyovyote vitakavyoletwa na Spika wa Bunge...
  5. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Bunge kuendelea kuwakumbatia wabunge waliovuliwa uanachama wao na Chadema, kinaonyesha udhalilishaji wa mhimili wa Mahakama?

    Tulipokea taarifa jana kuwa Mahakama Kuu, chini ya Jaji John Mgeta, kuwa ameyatupilia mbali maombi ya wabunge 19, wakiongozwa na Halima Mdee, waliofungua shauri lao Katika Mahakama hiyo kupinga kuvuliwa uanachama wao na kilichokuwa chama chao cha Chadema. Ikumbukwe kuwa wabunge hao mwezi...
  6. JamiiForums Tanzania Wabunge waliofukuzwa CHADEMA wapo Bungeni leo Juni 23, 2022, Spika kawaruhusu kuuliza maswali

    Wabunge wa Viti Maalum, Salome Makamba na Grace Tendega wapo Bungeni, leo Alhamis Juni 23, 2022 na wameuliza maswali ya nyongeza baada ya kupewa fursa hiyo na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson. Wabunge hao walifukuzwa uanachama CHADEMA na kesi waliyofungua kupinga kufukuzwa Mahakamani imetupwa...
  7. JamiiForums Tanzania Dar: Mahakama kuu yatupilia mbali kesi ya Halima Mdee na Wabunge wenzake 18. Sasa kupoteza Ubunge

    Leo hii saa 8 Mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itatolea uamuzi Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa Chadema dhidi ya waliotimuliwa kwenye chama hicho wanaoongozwa na Halima Mdee , ikiwa kama walistahili kufungua kesi hiyo au la. Halima Mdee na kikundi chake wamefungua kesi kwenye...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ngorongoro?

    Kabla hatujaanza kuchagua upande wa kusemea kuna maswali ya kujiuliza kuhusiana na suala zima la Ngorongoro, Kuna maeneo mengi sana nchini Tanzania watu wanahamishwa kupisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Baadhi ya sehemu hizo wapo wnaaolipwa fidia na wapo ambao hawaambulii chochote. Katika...
  9. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa atoke kabla hajawa Kirusi ndani ya CHADEMA

    Huu mwaka ni mbovu kwa wananchi tangu dunia iumbwe, chama cha CHADEMA kinapitia wakati mgumu sana, viongozi wakuu, viongozi wa Kanda na mikoa wamepigwa gundi mdomoni kuongea hawawezi tena na huenda Kuna void contract iliyowekwa baina ya hawa viongozi wa CHADEMA tunaodhani ni watetezi na hawa...
  10. JamiiForums Tanzania Msigwa alalamikiwa kuwalamba block CHADEMA wenzake

    Msigwa kaamua kujitenga na uanaharakati
  11. JamiiForums Tanzania Kwa haya wanayotufanyia CCM kuna uwezekano mkubwa wa kuwag'oa 2025 lakini sio kwa chama chetu CHADEMA au ACT Wazalendo

    Wananchi hawana mbadala wa kuipachikia CCM ila ukweli ni kuwa hawaitaki tena. Sio wazee wala vijana. Tozo, ufisadi upendeleo umekithiri ndani ya CCM huku raia wakiwa hoi kimaisha. ACT Wazalendo ni mamluki waganga njaa. Hawapo kwaa ajili ya kumsaidia mwananchi aondokane na utawala usiofaa wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaikosoa bajeti ya Serikali 2022/23

    Leo nimemsikiliza sana Ndugu J.Mnyika akitoa ushauri juu ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23. Nimemsililiza na mengi nimekubaliana naye hasa ugumu wa maisha kwa wananchi. Anaendelea kushauri kuwa punguzo la bei ya mafuta kwa sasa bado haijamsaidia mwananchi na hivyo Serikali ione...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Songea: ACT Wazalendo yavuna mamia ya wanachama wa Chadema

    Aliyekuwa Katibu wa chama cha Chadema Mkoa wa Ruvuma Tasilo Milinga amejiunga na chama cha ACTwazalendo mapema leo Juni 18,2022. Hapa akimkabidhi kadi yake ya uwanachama ya Chadema Mwenyekiti Taifa wa ACT Juma Duni Haji mara baada ya kujiunga na ACTwazalendo Mjini Songea.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro yaigawa katikati CHADEMA, Mch Msigwa na Wabunge 20 wako na Serikali. Tundu Lissu na wengine wanapinga Serikali

    Ndivyo halo ilivyo hadi sasa katika viunga vya Ufipa yalipo makao makuu ya Chadema Wapo wanaowaunga mkono mchungaji Msigwa na Mbunge Khenan wa Nkasi wanaosupport Wamasai kuondolewa Ngorongoro Kundi lingine linamuunga mkono mh Tundu Lisu anayetaka Wamasai waachwe waishi mbugani Mungu ni...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure: Ukijikwaa ukaanguka, usiangalie tu pale ulipoangukia, bali angalia pale ulipojikwaa

    Wanabodi, Chadema ilijikwaa, ikaanguka, ikaangalia tuu pale ilipoangukia, ikainuka, ikaendelea na safari, bila kuangalia ilipojikwa, sasa imejikwaa tena pale pale, Ila bado haijaanguka, hivyo huu ni ushauri wa bure wa kuisaidia this time around, isianguke!. Mtu unapokuwa umejaaliwa uwezo wa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA isipowadhibiti vijana wake, itakuja kujuta

    CHADEMA inafanya siasa zake mtandaoni kwa kiasi kikubwa, kutokana na mazingira ya siasa nchini yalivyo tangu enzi za mwendazake Sasa kuna vijana wa Chadema wamekuwa popular sana huko mtandaoni kuliko hata viongozi wao wa kitaifa, na waki push ajenda fulani inaonekana kama ni Chadema sababu...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanapinga NEC kuunganishwa kwenye Kesi ya Halima Mdee na wenzake. Je, ni kwa faida ya nani?

    Mara tu baada ya kuvuliwa uanachama, Halima Mdee na wenzake walitinga mahakamani na kufungua kesi na mmoja wa walalamikiwa ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Chadema wanapinga NEC kushitakiwa kwa sababu ni kinyume na katiba. Ila NEC ndio wangetanzua mzozo wa mamlaka iliyowateua akina Halima...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ilitakiwa kufa 2014, wafuatao ni Wasaliti wakuu na Mamluki waliopandikizwa

    Hebu fikiria hawa walikuwa viongozi wakuu wa kitaifa na wajumbe kwenye mabaraza mbalimbali ya Chadema. Wilbroud Slaa aliyekuwa katibu mkuu, Zitto Kabwe (N/Katibu mkuu), Arif M/Mwenyekiti Taifa, Waild Kabouru, Vincent Mashinji, Mwigamba, Waitara, Katambi, Kafulila, Shonza, Mchage, Lowassa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Nilichoshuhudia ni aibu, viongozi BAVICHA ni weupe kichwani, CHADEMA mna kazi sana ya kuwafundisha kujenga hoja na kufanya utafiti

    Niweke wazi kwanza sina chama nimekuwa nikipiga spana pande zote, na unaweza kucheki profile yangu kuthibitisha hilo. So napenda hoja yangu isijadiliwe kishabiki bali objectively Ni kuhusu vijana wa Chadema, hawa wapo wengi sana mtandaoni kuliko vijana wa vyama vingine, ACT, CUF, CCM n.k...
  20. JamiiForums Tanzania Nape aagiza waliozusha umeme kupanda bei hatua zichukuliwe

    Baada ya taarifa kusambaa kuwa bei ya umeme imepanda, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameagiza wote waliozusha kuhutu taarifa hizo hatua zichukuliwe. "Uenezaji wa taarifa za uongo kiasi hiki ni uchochezi wenye lengo la kujenga chuki dhidi ya TANESCO na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…