johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ndivyo halo ilivyo hadi sasa katika viunga vya Ufipa yalipo makao makuu ya Chadema
Wapo wanaowaunga mkono mchungaji Msigwa na Mbunge Khenan wa Nkasi wanaosupport Wamasai kuondolewa Ngorongoro
Kundi lingine linamuunga mkono mh Tundu Lisu anayetaka Wamasai waachwe waishi mbugani
Mungu ni mwema wakati wote