Almost 80% ya wanawake wanaishi na waume ambao sio chaguo lao halisi.
Yaani they just " settled" with their current husbands baada ya kushindwa kupata wanaume WA ndoto Zao.
Kwa utafiti uliofanywa, wanawake 7 Kati ya kumi walikiri wanaishi na mwanaume ambaye hakuwa chaguo lake kwa asilimia 💯...
Mpo salama!
Ninachowakubali CCM wanajua kusukuma Kete zao kwa AKILI Sana na pale inapohitajika nguvu kidogo wanatumia
CCM KAMWE haitaruhusu Chama chochote cha upinzani kiwe chama cha siasa cha kitaifa.
CCM hawaoni shida wala haiwashughulishi chama cha upinzani kutawala kanda Fulani au Mkoa...
Young Africans SC imetangaza Adnan Behlulović kuwa kocha mpya wa mazoezi ya viungo pamoja na Taibi Lagrouni!
Soma, Pia: Kocha wa viungo wa Yanga SC, Taibi Lagrouni hajasafiri na timu baada ya kutokubaliani na baadhi ya mazoezi na program na kocha mpya Sead Ramovic
Huyu ni chaguo la Saed...
1998 nikiwa na miaka 12 kijijini kwetu alikuja kijana mmoja kutoka mkoa mwingine, alikuja kutafuta maisha.
Alisema baada ya miaka 10 atawapa watu vibarua. Alifika hana kitu, kibarua chake cha Kwanza alilimishwa na Doni mmoja pale kijijini kwa makubaliano ya kupewa baiskeli used phoenix...
Habari za uhakika na kupendeza uharifu sasa umepungua na waharifu wamegeuka kuwa watakatifu. ni baada ya waharifu kufikishwa mahakamani na kupewa chaguo la kujiunga na jeshi na kupelekwa Ukraine tena front line . Tutarajie vita ikiisha Ukraine Russia patakuwa paradiso.
Huu ndo ukweli...
Mdogo wangu Bilnass ajue kuwa Nandy alikuwa Dem wa Ruge.
Sasa mwamba alivyo tangulia ndo hivi sasa...Show zimekuwa nyingi baada ya Ruge kuwa marehem.
Sasa namtizama Nandy kwa unafki kwa Bilnass na huku namtazama Billnass Kwa kumuonea aibu kama second choice...
Any way ndo...
Habarini nyote na Amani iwe nanyi
Mimi Chief Wadiz muumini wa haki na uhuru nasema hivi kupotosha haki na uhuru si sawa
Sisi Wanaume tumeumbiwa hitaji na kiu ya wanawake wengi hivyo tuna haki na halali ya kuoa wake wengi iwe kimila au katika dini na hata historia ya mitume wengi hata baba yetu...
ni Chama Cha Mapinduzi CCM.
Sera zake za kusisimua na kuimarisha uchumi bado zinahitajika na kuaminika zaidi ndani na nje ya nchi, kwani kwa kiasi kikubwa zimebadili hali ya vipato na kuongeza hali za viwango vya maisha ya waTanzania kwa kiwango cha kuridhisha na kutia moyo sana.
Sera zake za...
Unaambiwa hakuna Mchezaji wa Kikosi cha Kwanza na hata wale wa Akiba ( Subs ) waliocheza hapa Dar es Salaam na Fungulia Mbwa FC jana walicheza katika Mechi yao ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini ambayo hata hivyo Walishinda Goli 1 kwa 0.
Mamelodi Sundowns FC watauwa Mtu na inaonyesha hawatanii na...
"Tuviheshimu sana vilabu vyenye viwanja vyao na tuwaunge mkono, Azam FC, Mtibwa Sugar, IHEFU kabla ya kuuzwa na kutelekeza uwanja na JKT Tanzania, angalia Simba SC wanavyodhalilika ma viwanja vya CCM vya zamani vimechoka na miundombinu hafifu."
"Simba nao hawana kiwanja lakini wamekuwa...
Kumekuwa na nguvu kubwa na kutangaza mkeka mbao na marble sheet. Wataalamu wanaojua mambo, ningependa kujua uimara wa hizo bidhaa mpya ambazo mimi nazifananisha na plastiki tu, kama zile kapeti.
Lakini kwanini mambo haya yamekuja ghafla hivi?
Taarifa kamili hii hapa.
=====
Hospitali ya Aga Khan kwa kushirikiana na Shirika la Reconstructing Women International (RWI) na Hospitali ya Taifa Muhimbili, inatarajia kufanya upasuaji kurekebisha maumbile kwa wanawake na wasichana 25 kutoka...
Wanawake haijalishi awe kicheche au awe wife materials Hawa wote jicho lao moyo na nafsi wanaomba kwa Mungu na Shetani ili wampate mwanume mwenye vigezo hivi
Mpole ambaye haongei Sana
Msafi wa Mwili roho na Matendo
Mwenye haiba ya uanaume (masculinite )
Mwenye Akili za kujiongoza yeye na...
Habari zenu ndugu zangu, japo hatufahamiani ila uwepo wenu humu imekuwa ni faraja kubwa sana kwangu kwani mmekuwa watu wa kunipa furaha na kunifariji mara kwa mara,.
Leo nimeona ni bora nisiwaache mkafa bure bila ya kulitambua hili,
Ndugu yangu KUNA WAKATI KUKATA TAMAA HUWA NI CHAGUO SAHIHI...
Ndugu zangu watanzania,
Huo ndio ukweli, ndio uhalisia,ndio jibu kwa wale wote wanaojiuliza ujasiri mkubwa alio nao na alio uonyesha Rais samia katika kuongoza Taifa letu pamoja na mafanikio makubwa aliyoyapata ndani ya muda mfupi.
Ni dhahiri katika ulimwengu wa kiroho Mwenyezi Mungu alikuwa...
Wanabodi.
Mara nyingi mtu anapokuwa katika harakati za ujenzi, hupata mawazo mbalimbali kutoka kwa wataalamu wa ujenzi (mafundi), hii hupelekea kutokuwa na mueleko sahihi hata katika bajeti yake ya ujenzi na namna ya kupunguza gharama.
Mara kadhaa kumekuwa na maoni tofauti tofauti juu ya ujenzi...
Wakati mgogoro wa Ukraine ukiendelea kwa mwaka mmoja na nusu sasa, huku nchi za magharibi zinaonekana kuendelea na nia yake ya kuchochea mgogoro huo na kutaka utatuliwe kwa njia ya kijeshi, China na nchi za Afrika zimeonekana kupendelea zaidi mgogoro huo kutatuliwa kwa njia ya amani, hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.