Katikati ya majonzi na masikitiko makubwa kutokana na baadhi ya watu wanafiki, waongo, wenye upeo na uwezo duni, wanaopigania matumbo yao; kuna faraja kubwa.
Sote tunajua wazi kuwa baadhi ya watu, ama kwa kusukumwa na tamaa ya kujinufaisha wao binafsi, au kwa kukosa maarifa na weledi, wameamua...
Nasikitika kusema kuwa mimi nilikuwa mhathirika mkubwa wa Magharibi, yaain nilikuwa naweza kugombana na mtu au kutukana pale tu anapoigusa Marekani kiufupi nilikuwa shabiki kufa kufa wa Magharibi hasa linapokuja suala la mzozo wa Ukraine na Russia.
Ila kwa furaha sana baada ya kufuatilia fact...
Wanawake tuna nguvu kubwa ambayo hatuithamini na tunaipuuza na kuidharau ndio maana sisi tunaongoza kushinda kwa waganga na kwenye makanisa ya kinabii.
Nguvu hiyo kubwa tuliyonayo ni unyenyekevu. Tukiweza kuwa wanyenyekevu kwa wanaume wetu, na kuwaombea, migogoro inapungua na kutoweka kabisa...
Kwa muda mrefu nimekuwa mpweke ila siku za karibuni kwenye mtandao nikawa niko busy na dada mmoja mzuri sana.
Basi tukaona kuna haja ya sisi kuonana kwani niko Dar na Yeye yuko Dar. Tukapanga kukutana naye Slipway.
Ijumaa jioni baada ya saa za kazi nikawa nimepiga kambi Waterfront Bar...
Ndugu zangu
Natumai nyote muwazima wa afya
Tunapoelekea katika Chaguzi za Jumuiya na Chama kama Vijana na wanachama tunao wajibu wa kukisaidia Chama na Jumuiya zake kupata Viongozi wenye sifa za ziada,
Kutokana na Maelekezo, Ushabiki na makundi huenda tukaangukia pabaya tukachagua Viongozi...
Mara ya mwisho niliposafiri na kutua uwanja wa ndege wa Bukoba nilikaa na mama mmoja wa kihaya aliniambia hali ya hewa uwa mbaya kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka around saa sita mchana,kulikuwa na mpango toka awamu ya tatu kujengwe airport kubwa maeneo ya omkajunguti 40km kutoka Bukoba...
Kama title inavyojieleza, hivyo ndivyo ilivyo.
Kama kiongozi wa nchi ni chaguo la Mungu, nchi hiyo itabarikiwa na itastawi. Hakuna sababu ya kusingizia mabadiliko ya tabia nchi, vita nk!
Binafsi kwa kipindi kifupi cha uongozi wake, nimeona mabadiliko makubwa ya tabia nchi tofauti na kipindi...
Watafiti wamezungumzia suala la ndoa kwa vijana wa kike, kasikazini mwa Tanzania, wameonyesha sababu za kupamba moto kwa matukio hayo na athari zake kwa waathirika wa mitazamo na mawazo hayo (wanawake).
Sababu za kupamba moto kwa matukio haya ni ukosefu wa elimu ya kutosha juu ya masala ya ndoa...
Nilikuwa Kenya wakati ule, kulikuwa na kampeni na mimi nilikuwa Nairobi, nadhani just for a day and a night. Kulikuwa na some complaints kuhusu Raila, complaints in the media,na mimi nilikuwa very dejected,natafakari hayo mambo as I was falling asleep. Nilikuwa katika guest house.
Nikaamka...
Hali ndivyo ilivyo, hata kwenye urafiki wa kujuana na watu kawaida tu kuna yule mtu hata akijenga nyumba porini bado atatembelewa ila kuna yule aliejenga sehem ya karibu ila hatembelewi mpaka labda kuwe na party na watu hapo wamekuja kwajili ya vinywaji na si kwajili ya mtu. Kuna mtu akikupigia...
Wanajamii humu, nimatarajio yangu mko poa.
Kwanza kabisa niombeni ushauri Kati ya hizi choices, ipo hivi mimi ni kijana umri age 28 mkazi wa Sinza hapa Dar, nimepanga pamoja na vijana wenzangu wanne hivi yaani hapo kwenye huo mji tupo watano. Vijana hao wanne wote mwaka huu wamenunua magari...
Tunatoa sana ushauri humu JF na wakati mwingine tunaonekana kama wavurugaji waliotumwa na wapinzani au watu tusiokuwa na uzalendo na taifa letu, mwisho wa siku ushauri inapuuzwa na kumsikia mama analalamika kua wapo watu ndani ya serikali hawako naye na wengine hawaelewi.
Tulishauri kwamba Mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.